sure no comments, picha yenyewe tayari ni comments 99999.....!!!!
i am sure the creator of the universe is the perfect mathematician
loading
Usiseme chochote
Oya mko serious au? Hii ni kabla au baada ya Uhuru, as in hiyo picha ni Tanzania?
Success Requires No Explanations, Failure Permits No Alibis- Napoleon Hill
Inasikitisha!!
Du alafu hawa wote lazima wawe na kila mtu na gloves zake,wembe,pamba kama una unazaa sakafuni tena mwenyewe. Inasikitisha sana ee Mungu tuokoe toka katika utumwa huu,kama ulivyowaokoa wana wako toka kwa Farao
Hawa wote wana waume zao, au waliozaa nao.
Wengine washazalia hapa mara kadhaa.
mkuu hii picha ni hospital ya temeke wodi ya wakina mama wajawazito ya zamani, kwa sasa inakarabatiwa na wakina mama wamehamishiwa kwenye jengo jipya kule chini kama unaeleka mochwali.
Hii situation ya hospitali zote nchini.
Sasa hapa ni majengo,
Wamejaa, hakuna madokta,
hakuna madawa
hakuna vipimo,
hakuna vitanda
hakuna neti,
Nadhani pia Hawana Rais
Hapa ni mbeya, kina mama wajawazito wanalala mzungu wanne
Muhimbili hapo
Nape na mwigulu wanatembelea ma v8 ya milions 480
ngojeni kwanza presha yangu itulie.
ukipitia mahospitalini ukazunguka nchi hii kisha ukatembelea JF ukakutana na habari za akina shimbo na trilion 3 akiwa amehifadhi south Afrika, huku kila kukicha mali asili zetu kila kukicha zina safirishwa kinyemela huku vigogo wa serikali ya ccm wakijilimbikizia zaidi ya trilion 16 uswiss na kwingineko wakati watanzania wanajifungulia chini, hawana maji ya kumywa..ukiambiwa andamana hata mida hii utakuwa tayari kama mimi..
Follow Us Here