Rais Kikwete akimsindikiza Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge wa Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama Mh. Edward Lowassa muda mfupi baada ya kukutana nao jijini London, Uingereza Julai 12, 2012.
Rais Kikwete akimsindikiza Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge wa Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama Mh. Edward Lowassa muda mfupi baada ya kukutana nao jijini London, Uingereza Julai 12, 2012.
Ni ya lini hii?
"Rather than love, than money, than fame, give me truth" ----Thoreau
lazima EL kalazimisha hiyo picha isambazwe mitandaoni
Hawakukutana barabarani hao
''Mipango na Mikakati imekamilika na sasa tuko kwenye mchakato wa mazungumzo na wafadhili"- M Pinda
mbona lowassa kama anabembeleza kitu
ccm inakufa,asante mungu umesikia kilio chetu!!!!!!!
Hon. Lowassa ni potential zaidi mara 1,000,000,000,000 kuliko JK
Lowassa naye anatinga single button?
We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities.
Ralph Waldo Emerson
Wote hao lao moja tuu.
"Makalio ya sufuria hayaogopi moto"
Follow Us Here