Dah, hapa umetukumbusha mbali sana.
iko kitabu kilikuwa kizuri sema shida ni kwenye ufundishaji
Mr. Daudi,
Mrs. Daudi,
Musa and Neema.
And Baraka!
Haya Mkuu, enzi hizo ada Tshs 20/= Daftari bure. Std 7 wanafaulu watu wawili tu kwenda Sekondari. Enzihizo Hakuna shule za kata.
kweli long tym.
ni miaka kumi ma tano sasa imepita tangu nikisome
dah! nilishawahi muomba mama likizo moja tukatembelee kwa kina mr. daudi niwaone live Neema,Musa,Baraka na mbwa wao knowing that they really existed somewhere!
Uko sahihi mkuu,nilishashuhudia siku moja walimu wa shule ya msingi wakigawana masomo kwa ajili ya kuanza muhula mpya,basi binti mmoja mrembo wa sura ndio alikuwa anaanza kazi akaambiwa atafundisha kiingareza darasa la kwanza bila aibu binti akajibu jamani mimi kiingereza sijui,kimoyomoyo nikasema mungu wangu safari ni ndefu kama walimu wanakuja kuanza kazi hata english ya Mr Daudi(laini kitabu kilikuwa kipya si hiki cha mr Daudi) hawawezi sijui tutegemee nini kwa watoto wetu,na hii ilikuwa juzi tu mwaka 2003..
UKICHOKA KUFANYA SIRI,FUMANIWA TU YAISHE . By Simon Kitururu.
Mkubwa iko kumbusha mimi mbali sana.
Duuh, umenikumbusha mbaliiii I had a play where I was Mrs Daudi
Blessed are hearts that bend but shall never broken
darasa la tatu nakumbuka mshua kaninunulia af wakaniibia, yani hapo ndo nilipoanza ufisadi maana niliiba vitabu vyote kama walichoniibia nikaviweka home
Ee bwanae,kitambo sana hiki kitabu.
'Mwoga hana makovu'
du imenikumbusha haya.
i shall not forget the first day we interd uganda,the fighting started early in the morning,the air was smoke from the gun.
amini soldiers run away and leave everything behind
kusema ni fedha na kusikilizwa ni zahabu.
Mkuu St. Paka Mweusi hapo kwenye Red nirudishie Change yangu!! Engili STD 1.............
Never Judge any one because you never know how their life is and what they are going through
Duh Kitambo sana, enzi hizo unapewa paragraph ukariri "Mr. Kapufi is a veterinary officer in our district"
Unachapa mboko kama jela, shuleni pekupeku, sabuni kwa foleni, sukari ni kwa wachungaji walimu na wagonjwa, mliosalia mtajaza!
Kufaulu ni watu wawili au mmoja, balaa sasa akirudi likizo mtamkoma kunata si kunata kujisikia kwiingi, dada zetu wanampapatikia ni balaa, yaani anafanya kuchagua kama mafungu.
Lakini wakimaliza enzi hizo ajira njenje. sio leo hii mpaka soli ya kiatu inazunguza.
Good reminder, safi sana!
Mkuu Bushbaby hapo chenji wala hupati siku hizi kiingereza wanaanzia darasa la kwanza na sio la tatu kama ilivyokuwa miaka yetu
UKICHOKA KUFANYA SIRI,FUMANIWA TU YAISHE . By Simon Kitururu.
Neema na Mussa walikuwa ni watu wa ukweli tulisoma nao darasa moja.Kuna jamaaa mmoja anaitwa Mashoto alikuwa anachezea timu ya shule ya Mtakuja ipo hapo Kunduchi.Mwengine alikuwa anasoma Maweni .Sasa hivi ni watu wazimq.
Duh,guys u've made my day.
Mr.&Mrs Daud
Musa and Neema
Baraka (I remember in one dialogue they went to the shop and she screamed to her mom pipi pipii)
Their dog Linda
The Mtakuja primary school (played football match with Maweni ps)
Jamani those tyms...!
Follow Us Here