Soki Ozali Mwasi Yaka, Soki Ozali Mobali Koya Te
sio kujisaidia ni kusaidiwa kujisaidia.
kusema ni fedha na kusikilizwa ni zahabu.
Picha imeninyong'onyeza! Nahisi km mimi ndio huyo jamaa.
Mightier than the sword
hapo ameshakumbuka na kuzitubu dhambi zake zote within seconds
iish...hapo hata usitake kujifanay mjuaji..we unampa zake "Hi.." afu huyo unarudi zako kuendelea kusoma kitabu kama kawa..mwenyewe atabloo..
The signature you are looking at now does not exist.....
Anaweza hata kujisaidia utumbo au akajikuta anasema shikamoo kaka simba.
Halafu anasema ina maana mungu mimi ni mkorofi kiasi cha kunihukumu vibaya hivi,sawa baba sawa.
Au amwambie niguse uone kudadeki zako.
Chezea wazungu weye! ukute huyo simba kamfuga anatalii nae.Hakuna madhara hapo!
Kama ni mimi nitajifanya mnyonge mpaka adhanie ni mzoga,halafu wakati anajiuli natoka nduki kwenye mti halafu ndo najikagua kama nimejinyea au la.na kama nimejinyea ndo naanza kujicheka.
Ukimpa hi anajibu hi halafu anakwambia can i kukula you sijui utajibu nini
Kuna watu wanadai Simba wana aibu sana ukiweza kumtazama uso kwa uso hawezi kukufanya kitu. Sijui kama ni porojo tu za mtaani au ni kweli.
photo shop'''''
hapo kisha taja majina ya GOD na mitume wote 99 kifo kimbaya sana.
Follow Us Here