Kumekuwa na Wimbi kubwa la viongozi wa serikali kuvaa mavazi yanayo fanana na Magwanda ya Chadema. Hii inaashiria nini kwa mwaka 2015??
Kumekuwa na Wimbi kubwa la viongozi wa serikali kuvaa mavazi yanayo fanana na Magwanda ya Chadema. Hii inaashiria nini kwa mwaka 2015??
Duh!naona kwanda limempendeza sana JK!
"A friend in need,is a friend indeed"
Magwanda ya khaki?
System At Work
"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
he he he he he he he he kumbe magwanda......
Wamevua magamba na wanavaa "gwanda" siku hizi mpaka magogoni!!
usipo vaa mwangani utavaa gizani.
kusema ni fedha na kusikilizwa ni zahabu.
Follow Us Here