kazi kwako
kazi kwako
na kama pesa kwako ni mapenzi kanunue mdoli dukani.
kusema ni fedha na kusikilizwa ni zahabu.
kama mapenzi uchawi jee???
Kuzunguka mbuyu ni raisi insu kuukumbatia.
pikipiki haina milango mdogo wangu
"Smile though your heart is aching"...Me says
Bata hata awe mchafu vipi bado atataga yai jeupe
"Smile though your heart is aching"...Me says
japo jogoo anawahi kumka hawezi fungua mlango
"Smile though your heart is aching"...Me says
Mkuki haupigwi konzi
"Smile though your heart is aching"...Me says
Kama weupe ni mali ubuyu usingepakwa rangi
usimsifu babako kwamba anajua kukimbia bali msifu na baba wa mwenzio aliyemkimbizia baba yako
"Smile though your heart is aching"...Me says
kama akili ni nywele basi watu wasingenyoa siku ya mtihani na mengine mingi
"Smile though your heart is aching"...Me says
Follow Us Here