Ni njaa au mojawapo ya kitoweo
Blessed are hearts that bend but shall never broken
Nyama tamu sana hii. Ukiweka na kachumbari na pilipili kwa mbali, unapiga na maji nusu lita, siku inakuwa bomba mno
Minapita nitarudi.
Na log off
yuk
Ni msosi wa heshima kwa wenzetu.
"Makalio ya sufuria hayaogopi moto"
Yuk! yuk!
Mh!!!!!!!!!! kichefuchefu naondoka hapa,usije nitapisha matomodaya nilokula
Dah anafaidi lol
Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
Acha Ngono,UKIMWI unaua!
Follow Us Here