Eneo la Manzese darajani litakavyokuwa.
Eneo la Ubungo Terminal na Ubungo mataa litakavyokuwa,hapa zinaonekana barabara za juu.(frying overs)
Vituo vya Mabasi ya Mwendo kasi.
Kumpaka NGURUWE Lipstick, hakusaidii kwani Nguruwe atabaki Nguruwe.
Dar utaendelea kuwa MJI MCHAFU
Nguruwe pita leo sina Mkuki(By Malila wa JF).
huh ulaya ulay
I only offer an opinion someone don't f**k with me . It's important to be a good listener, and that means you shut your mouth and let other jf member talk.
Miaka hamsini ya hari nguvu na kasi si ilisha pita, hakuna lolote la maana limefanyika, zaidi ya mipasho na kejeli.
System At Work
"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
nimemkumbuka Kat-de Luna am I dreaming? Nadha ndo sisi watanzania
Nguruwe pita leo sina Mkuki(By Malila wa JF).
System At Work
"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
Ndiyo maana nikaita LIPSTICK, Wakuja.
Subiri Mvua inyeshe hapo Dar na watu waanze KUTAPISHA Vyoo vyao.
Misomi mizima na mingine Mfisadi na imeiba hela nyingi, ila mbele ya nyumba yanapita Maji Taka.
Enzi ya Nyerere walau kulikuwa na Mitaro ya maji machafu/mvua ila kwa sasa imebaki historia.
Ningelimuona mtu wa anayefikiri katika 3D kama angelianza kujenga Reli na kuweka Mabasi yanayopita kwenye Reli.
Dar utaendelea na uchafu wake hadi aje Rais MKRISTO anayependa Usafi aubadilishe.
Angalia mambo yanayokwenda Spain(siyo mpira) na ndiyo uwaonee wivu na siyo mambo yanayokwenda Dar.
Nguruwe pita leo sina Mkuki(By Malila wa JF).
another day dreamer
Haya ndiyo yanayodidimiza uchumi wetu
hizo picha zinavutia ila baada ya ujenzi utashangaa maana mimi niliona pendekezo la mlimani city kwenye picha ila baada ya kujenga huwa najiuliza hivi hapa ndio tulidhani ni new city ndani ya dar.
Ukweli haya tunafanya ni kujinyonga kiuchumi. Niulize kwa nini
uchumi wetu unakua. Tunachukua fedha kupitia vyanzo mbalimbali ila mipaka ya nchi yetu inavuja fedha kwa kiasi kikubwa zinaishia nje ya nchi.
Moja wapo ya sekta inayoongoza kwa kutorosha fedha zetu ni sekta hii ya magari
kukua kwa uchumi kunasababisha kufurika kwa magari. Simu. Vifaa vya elekronic maana yake fedha inaingia inatoka.
Kwa mwaka 2009 tanzania tuliingiza mafuta kwa mujibu wa ewura lita bilioni 1.55. Ukitazama kwa bei ya mafuta mitaani ni zaidi ya trilioni 3 za kitanzania mnaojua bei ya mafuta kufika bandari ya dar jiulize ni asilimia ngapi ya hizo trilioni tatu iliishia nje.
Itakuwa inafikia trilioni mbili
sasa leo nasikia serikali imetenga bilioni kama 800 kuondoa msongamano dar
je fedha hii haitoshi kujenga reli kutoka mbagala. Pugu. Chalinze na goba hadi kati kati ya dar na kuweka masharti magumu kwa uendeshaji wa magari ili tusitengeneze njia za magari kuendelea kudidimiza uchumi wetu?
Tukifanikiwa angalau kukomboa trilioni moja kwa mwaka ni kiasi kikubwa ambacho kinaweza kutengeneza ajira nyingi kwa watanzania iwapo serikali itabana na kuzuia mfumuko wabei
tunakokwenda nchi zikawa na uchumi mzuri kuliko sisi lakini tukakuta magari yenye hadhi ndogo ni kulinda uchumi wao
kitabu cha katiba na mwelekeo wa uchumi kinakuja hivyo tujiandae kununua na kuona jinsi tunavyoweza kuelekeza fedha hizi zibadili mandhali ya jiji letu kabla ya kuleta mafuriko ya bidhaa za nje
Nadhani ulitaka kusema pengine angalau miaka 30 badala ya 3 naona ulisahau 0
System At Work
"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
Nimepita hata kamtaa!
Follow Us Here