Ulimwengu ndio huo Utajiri wa Dunia huoooooooooo....... Boflo ..........njooo huku upate pesa hizoooooooooooooooooooooo
Ulimwengu ndio huo Utajiri wa Dunia huoooooooooo....... Boflo ..........njooo huku upate pesa hizoooooooooooooooooooooo
Only Do What Your Heart Tells You
Allah Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]
"M" na "K" nimeyapenda maongezi yenu. Ningeshangaa sana kama "M" na "K" mngekuwa hampatani. Kwikwikwikwikwikwikwikwi...... ... Tehetehetehetehetehetehetehete he......
Jamani nilikuwa napita tu nikasikia mazungumzo yenu, Bye..
mayo nene,yaan zinatufanya vibaya hizi ingekuwa amri yangu turudi kama zamani batter trade
ASIYEUMBA HAUMBUI
Mbona umetaja pesa kidogo hiyo Dollar10 nitakupatia wewe Rudisha avatar yangu ninayoipenda...... King'asti Hizo pesa ni za Wauza Unga huko Kolombia Wamekamatwa na serikali ya Kolombia hizo Pesa ni Zaidi ya Milllion 500 Dollar. Naona ukizipata hizo utatakana wewe kuwa Rais wa Tanzania.........
Only Do What Your Heart Tells You
Allah Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]
Acha Umbeya wewe grafani11 Pita njia kama Gari lililojaa Magunia ya Mahindi .....................
Only Do What Your Heart Tells You
Allah Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]
Fedha halijawahi kuwa tatizo mahali popote duniani.
Namna ya kuzitumia ni tatizo
MYPEOPLE PERISH FOR LACK OF KNOWLEDGE. HOSEA 4:6
I can be changed by what happens to me. But I refuse to be reduced by it-Maya Angelou
Ole humo ndani watie timu panya kama wawili tu wenye njaa kali...hapo ndio itajulikana pesa ni maua, makaratasi au sabuni ya roho
Mzizi mbona wala usisumbuke nimeshafika Mbeya tayari.
"Never argue with stupid people, they will drag you down to their level and then beat you with experience" Mark Twain
nikizpata mbona itakuwa noma mpaka ---- walionitosa watataka kuwa wangu
Follow Us Here