Wacha chezea Mario Baloteli wewe atakupa kisago mpaka maini yachanganyike na filigisi.
mtaliano yuko juu.
Congo noomaaaaa
Mshikaji wa Congo kama anacheza "Kiwazenza" au ile style ya "Dume la Nyani"
"Ingawa tunatumia AVATARS na USERNAMES ambazo ni FAKE, bado haibadilishi uhalisia wa MIOYO YETU"
mcongo yuko juu
'watanzania hawakukosea kumchagua Rais Jakaya Kikwete...walijua ana busara...' -Tundu Lissu
Follow Us Here