wewe umepinda kabisa! machozi yamenitoka
Huwa sipendi jinsi vyombo vya habari vinavyomuandama Baloteli...I just came across these words from him
"I am naturalized Italian but I'm from Ghana,I was abandoned by my parents and adopted by two angels.I suffer with racism everyday,I'm the first black to wear the jersey of Italy.I'm not angry but my life experience make me act differently from other people,then try to learn more about me" Mario Balotelli
Last edited by Baba Sharon; 3rd July 2012 at 09:37.
Anapendeza akiwa mkata majani
Blessed are hearts that bend but shall never broken
baloteli super mario namkubali sana, yani vitendo vyake vinatokana na maisha aliyopitia, so jifunzeni kwake, hata kama mzungu ndio alimpa maisha mapya lakini hawasujudu wote, anawaheshim wale two angels pekee, wengine wakizingua tia makofi tu, naania
Super marioooooooo me love u brother, u make a black men proud na tunawezaa.
Ni mchezo tuuu kwani kuna kushinda na kushindwa
iyo kwenye conference ni nouma, imenivunja mbavu kweli kuna watu masela gogo akyamungu
CHADEMA mwendo mdundo - T 2015 CDM
kwa kweli hii picha imetengenezwa kama njugu, eti mara anabeba kreti za soda , mara anabeba maboksi........nimecheka kweli leo
''Trying is a first step to a failure!'' Homer Simpson
Balloteli Psychologically affected by racism and parental negligence!!
"Huu ni upepo tu, utapita"
"Smile though your heart is aching"...Me says
balotel ni mchezaj mzuri leo nmeelewa kwa nn amekua na hasira cna katika maisha yke an
Super Mario Balotelli the good, the bad and the ugly.
nilivyoisoma hii tweet kuhusu balotelli... "I am naturalized Italian but I'm from Ghana,I was abandoned by my parents and adopted by two angels.I suffer with racism everyday,I'm the first black to wear the jersey of Italy.I'm not angry but my life experience make me act differently from other people,then try to learn more about me" Mario Balotelli.... nilitaka kujua zaidi kuhusu yeye.... sasa naelewa kwa nini uwa anayafanya anayoyafanya, no one can judge him
Follow Us Here