Wadau karibuni muanze kutafuta viwanja 2050 si mbali.
Wadau karibuni muanze kutafuta viwanja 2050 si mbali.
kusema ni fedha na kusikilizwa ni zahabu.
day dreamer
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha Bas Dar kutakuwa na Train za umeme zinatembea juu kwa juu. Umenifurahisha sana
Huna kazi?????????????????????. Wagonjwa wanataabika huku wewe unaleta mzaha.
Hapo ni Los Angels.
a day dream
hate it or love it
nifanyie mpango lakini kiwanja changu kiwe marangu ndo poa...............lakini siyo marangu mtoni.
Mladi wa kigamboni umeamia moshi
watu wanaokaa Dar na hawajawahi kutoka Tz utawajua tuu,kila kitu Tz wanaona ni dar.mara huo ni mradi wa dar mara dar kutakua na treni za umeme...
muwe mnatembea mnatoa ushamba,unaona dar kama ndo mbinguni
Dar kwa Tanzania tuu ukitoka Tz Dar si kitu chochote,Halafu Dar haitaprosper forever,another city shall rise in the future
Dont frown while GOD is smilling
Nice photoshoping
Kweli its a day dream!!!
Nimepita Moshi about 2 weeks ago nikitokea Singida,Arusha then Moshi.
Moshi is definately NOT changing.
It is as if it has stunted, and refused to grow.
Bado ni mji ule ule wa zamani na haibadiliki.
Tofauti sana sana na Arusha ambayo kila kukicha inabadilika.
Sababu?
Utaambiwa wenyeji wa Moshi hawapendi kuuza ardhi kwa wawekezaji wa nje, na hivyo basi kufukuza uwekezaji.
Pole Moshi, but is this true?
Last edited by masopakyindi; 1st July 2012 at 12:34.
"If you don't know where you are going, any road will get you there-nowhere”
[QUOTE=Ringo Edmund;4149420]Wadau karibunI
MOSHI - Mungu Onyesha Sehemu Hela Ilipo !!
Kama manzese
Follow Us Here