Very sad images
da mshua kamezwa na trouser kabisa inatisha aisee
nasikia kuna mtu alikua kalala akasikia anavutwa,kushtuka akaona ni nyoka anammeza kuanzia pande za miguu,akackomoa kisu taratibu afu akaanza kumchana nyoka kadri alivkua anamezwa,luckily alisurvive na nyoka alikufa sema alikua na diferent colour sehemu yote iliokua imemezwa,the place where it took place is kilimanjaro
Dont frown while GOD is smilling
pole yake ya huyo aliyemezwa, kweli never sleep in the jungle...
hate it or love it
Mbona mtu mwenyewe anaonekana mweusi ukilinganisha na hao waangaliaji? na isitoshe kimo chake nacho naona kama tofauti pia!!!!
Have patience with all things, but chiefly have patience with yourself.- Saint Francis de Sales
hii ni balaa, nadhani nyoka alishindwa kutembea alivommeza
Follow Us Here