Oneni faida ya kuutaka uzuri!
Oneni faida ya kuutaka uzuri!
'' Mtu ni Utu sio Kitu''
Halafu huyo jamaa kulia muone alivyomshupalia na mimacho kwa huyo Wema!
'' Mtu ni Utu sio Kitu''
Kweli Darisalama kuna vihoja!
'' Mtu ni Utu sio Kitu''
duuuuh!!!!!! mwili mzima kuanzia kichwani ni KUCHAKACHULIWA!!! dUUUH!
Ndallo kwani weupe ndio "uzuri"?
Dduhsi itnuhn kose kiri itda ---> 뜻이 있는 곳에 길이 있다
kwa kweli inashangaaza mwanamke wa design hii huvutia nini wanaume. check paja lilivyojaa michirizi!!!
hapa kweli naamini beauty is in the eyes of the beholder
huyu dada anazeeka vibaya sana
Kwa uchakachuaji huu wa mwili? Nahisi mpaka Ndude ameichakachua!
'' Mtu ni Utu sio Kitu''
Joyceline kwanini akae uchi hivyo je mama yake alikuwa anatetea nini siku ile kwenye TV kuwa amemtengeneza mwanae kma sio kutafuta kuandikwa kwenye magazeti ndio mkao gani huo?hiyo akili imezeeka hiyo nasikia mamayake jana katoka nduki maana alichokiongea ni viseversa
Mrembo and its realy beauty is in the eyes of the beholder
Follow Us Here