nahitaji moja 'samahani jina la mahali limehifadhiwa kwa usalama wangu dhidi ya watu wa eneo husika'
Ungalimited zinaitajika za kutosha.
zipelekwe kimara mwisho pale karibu na matungucha
kuna wachaga kibao na hao jamaa kwa masanga loh
Never hate people who are jealous of you,
Instead love them because they're the ones,
who think you are better than them…
Kwa mimi nafikiri hiingefaa sinza kijiweni na africa sana.
Tandale kwa mfuga mbwa.
ILetwe moja hapa kinondoni b.karibu na ben pub /babuu bar.
wapelekeeni mbeya cunival pale mafiat itawafaa sana
kwa pamoja ni lazima twende mbali zaidi ya maneno yetu...........039.mac
Iwekwe Shimoni mitaa ya Lushoto. Tanga.
Nimeongea na TANROADS, wamekubali kuweka kulingana na mahitaji ya eneo husika:
JIJI LA DAR ES SALAAM
- Dar Live=150,000
- Sinza=100,000
- Kimara=80,000
- Mwenge na maeneo yake=75,000
- Tegeta=70,000
- Tandale na maeneo yake=50,000
- Mabibo=40,000
- Riverside Ubungo=35,000
Bado tunafanya utafiti wa maeneo mengine, kama unataarifa yoyote wasilisha haraka ili tuokoe maisha ya wachangiaji wakubwa wa bajeti ya TZ.
ccm iringa
Nashauri nembo hiyo itumike na ile Mamlaka ya ukusanyaji kodi ili kuenzi mchango wa kundi hilo katika uchumi wa nchi hii.
mbavu sina waniwekee karibu na getini kwangu,
Follow Us Here