Yaani Hapa Nachokiona' ni
Mashindano ya Vitambi,Boobs Zimeinuliwa Balaa na Chinese butt na Visturi (HighHills)Maana wanawake Short Chassis wa Mjini wote wana Height ya 6FT...Hakika Wamevunja Makabati.
Yaani Hapa Nachokiona' ni
Mashindano ya Vitambi,Boobs Zimeinuliwa Balaa na Chinese butt na Visturi (HighHills)Maana wanawake Short Chassis wa Mjini wote wana Height ya 6FT...Hakika Wamevunja Makabati.
kama wamependeza,mengine hayahuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu lol
Maradhi nayo Yamepunguza Raha
Ndio wanawake wanapokwenda kujiuza?
System At Work
"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
Hahaha mi Mwanaume Banaa lazima nichunguze Hasa nsije nkang'oa kimeo..
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
mh! haya wee hongera zako wewe mualikwa
Mwanamke kujiacha maungo nje na kujipaka kila aina ya rangi usoni, kujichubuwa ngozi kwa kutumia kila aina ya mchubuo unaojulikana duniani, kuanzia mafuta ya jenereta mpaka vidonge vya arv, kujibandika manywele ya maiti na kwenda kujianika mbele ya halaiki ya wanaume, kama si kujiuza ni nini?
System At Work
"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
ongeza picha bana natamani kuona matukio
No one is in charge of your happiness except you...
God time is the best..
We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities.
Ralph Waldo Emerson
Wengine ni kutaka tu kuonekana yuko kwenye fashion,ndio kinachosumbua wengi kwa sababu tu anaona maceleb au kaona kwenye video kwa hiyo naye anafuata anacho ona kama ambavyo sio kila mwanaume anayevaa suruali za kubana ni shoga kama wengi wanavyo dhani,mwingine kwa vile tu kamuona Lil wayne kavaa na yeye amavaa,lazima uweze kutofautisha hilo,tatizo kubwa ni kuiga kila wanacho ona bila kuangalia inaendanaje na jamii waliopo.Wapo wanawake wengi sana hawavai hivyo especially maofisini,lakini wako radhi kulala na mwanaume yoyote including waume za watu ili kupata vitu fulani kwa ajili ya tamaa zao.
ol in ol! she nailed it! kudos to u wema!
"the problem is not me! the problem is you understading me!"
Da Nimependa nywele za yule mdada wa nyuma..
Samaki mmoja akioza...
Mwanamke alivyoumbwa, kila kiungo chake kwenye kiwiliwili kimependelewa kuvutia wanamme, wacha kiwiliwili hata sauti zao zimefanywa kuwa na mvuto wa aina yake, sasa inahusu nini kwenda kuvianika hivyo mbele ya halaiki, sasa huyo anaonesha mpaka chupi, kama sio kuhamasisha watu wabakane ni nini?
Kweli wahenga walinena "kizuri chajiuza kibaya chajitembeza". Si kuiga tu, ni ukosefu wa maadili wa hali ya juu, ndio hao wa sampuli ya "mama nimekuletea zawadi", haulizwi hiyo zawadi kainunua kwa kufanya kazi gani?
System At Work
"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
Duh, kumbe Wema ni sawa na mademu/vicheche vya mjini. Kitambi utafikiri ana watoto 4 kumbe hata wa kusingizia hana. Anaboa siku hizi ataishia tu kuonga wanaume ili aandikwe magazetini.
Follow Us Here