JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: wema Sepetu Glitter Night

  Report Post
  Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast
  Results 21 to 40 of 46
  1. Davie S.M's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th January 2011
   Posts : 679
   Rep Power : 691
   Likes Received
   163
   Likes Given
   59

   Default wema Sepetu Glitter Night

   Yaani Hapa Nachokiona' ni
   Mashindano ya Vitambi,Boobs Zimeinuliwa Balaa na Chinese butt na Visturi (HighHills)Maana wanawake Short Chassis wa Mjini wote wana Height ya 6FT...Hakika Wamevunja Makabati.

  2. stineriga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th June 2012
   Location : On My Way
   Posts : 1,944
   Rep Power : 85901829
   Likes Received
   520
   Likes Given
   412

   Default Re: wema Sepetu Glitter Night

   Quote By Mkereketwa_Huyu View Post
   Duh, kumbe Wema ni sawa na mademu/vicheche vya mjini. Kitambi utafikiri ana watoto 4 kumbe hata wa kusingizia hana. Anaboa siku hizi ataishia tu kuonga wanaume ili aandikwe magazetini.
   hivi kumbe huwa anahonga aandikwe magazetini???!!!
   hate it or love it

  3. zomba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th November 2007
   Posts : 17,181
   Rep Power : 11296
   Likes Received
   3532
   Likes Given
   2565

   Default Re: wema Sepetu Glitter Night

   Quote By Mbimbinho View Post
   Ni picha ya mwanamke, so what?
   Hata mimi mtu mzima nimeipenda na nipo tayari kumnunulia RAV 4.
   System At Work

   "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

  4. zomba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th November 2007
   Posts : 17,181
   Rep Power : 11296
   Likes Received
   3532
   Likes Given
   2565

   Default Re: wema Sepetu Glitter Night

   Quote By Mbimbinho View Post
   Ni picha ya mwanamke, so what?
   Ungesoma posts zangu juu huko ungenielewa, hapo ni ushahidi wa niliosema kuwa wanawake wanaenda huko kujiuza huku wakiwa wameshatumia mikorogo ya kila aina inayopatikana duniani, wakiwa na nywele za maiti, pitia juu huko.

   Anatamanisha, lakini ni wa siku moja ikizidi mbili, kwani harufu ya ngozi ya mkorogo na harufu ya nywele za bandia utayokumbana nayo, hutoweza kuihimili kila siku, labda uwe mlevi wa kutupwa, yaani kila unapokutana nae uko chakari na sense yote ya harufu imemezwa na pombe.
   System At Work

   "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

  5. Mbimbinho's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st August 2009
   Posts : 3,212
   Rep Power : 1273
   Likes Received
   1039
   Likes Given
   446

   Default Re: wema Sepetu Glitter Night

   Quote By zomba View Post
   Hata mimi mtu mzima nimeipenda na nipo tayari kumnunulia RAV 4.
   Hahahahaaaa., that's wazzzup mkuu!!
   Mbwa ukimjua jina wala hakupi shida....

  6. Mbimbinho's Avatar

   Mkuu mimi hapo tu asee ndipo huwa hunishinda, afu yote huwa yanatoa harufu sawa, sijui why., nashukuru Mamsapu ana nywele fupi na kama akivaa yale manywele kofia then for two days max. Good thing anajua siyapendi.
   Mbwa ukimjua jina wala hakupi shida....

  7. zomba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th November 2007
   Posts : 17,181
   Rep Power : 11296
   Likes Received
   3532
   Likes Given
   2565

   Default Re: wema Sepetu Glitter Night

   Quote By Mbimbinho View Post
   Hahahahaaaa., that's wazzzup mkuu!!
   Umeona eehh?
   System At Work

   "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

  8. gfsonwin's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th April 2012
   Posts : 15,692
   Rep Power : 263553921
   Likes Received
   15251
   Likes Given
   20000

   Default Re: wema Sepetu Glitter Night

   Quote By zomba View Post
   Mwanamke kujiacha maungo nje na kujipaka kila aina ya rangi usoni, kujichubuwa ngozi kwa kutumia kila aina ya mchubuo unaojulikana duniani, kuanzia mafuta ya jenereta mpaka vidonge vya arv, kujibandika manywele ya maiti na kwenda kujianika mbele ya halaiki ya wanaume, kama si kujiuza ni nini?
   zomba tatizo nikwamba na wewe akipita mwenye hayo uliyoyajtaja shingo inazunguka kama feni na macho yanakutoka kama balbu. waacheni wanawake wausife uumbaji wa Mungu lol...............ni wadada wazuri ilikuwa funika bovu watu kupendezza sana tu nguo za uhakika wacha masihara wewe wenyewake zao tu walikubali kuwa wamependeza sembuse nyie wapita njia?

  9. BornTown's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th May 2008
   Location : ???
   Posts : 1,589
   Rep Power : 1016
   Likes Received
   357
   Likes Given
   135

   Default Re: wema Sepetu Glitter Night

   Quote By zomba View Post
   Hiki ni nini?

   Hiyo ni GLITTER!!!
   "DONT BE A WOMAN THAT NEEDS A MAN BE A WOMAN A MAN NEEDS!!!!"

  10. King'asti's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th November 2009
   Location : Masaini
   Posts : 26,142
   Rep Power : 429502271
   Likes Received
   20929
   Likes Given
   10494

   Default

   Hivi bi mkubwa 'kuanika' sio shurti kuwe na jua, lol!

   Acha watoto wajifurahishe nafsi zao bana.
   Quote By zomba View Post
   Tazama picha hiyo juu, halafu useme kama huko si kujianika.

  11. Kisusi Mohammed's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th August 2009
   Location : Kigamboni, Dar es salaam
   Posts : 401
   Rep Power : 782
   Likes Received
   55
   Likes Given
   76

   Default Re: wema Sepetu Glitter Night

   Quote By zomba View Post
   Mwanamke kujiacha maungo nje na kujipaka kila aina ya rangi usoni, kujichubuwa ngozi kwa kutumia kila aina ya mchubuo unaojulikana duniani, kuanzia mafuta ya jenereta mpaka vidonge vya arv, kujibandika manywele ya maiti na kwenda kujianika mbele ya halaiki ya wanaume, kama si kujiuza ni nini?
   Ukweli mtupu wala hakuna ubishi hapo, kama hajiuzi asingehangaika kuficha uhalisia wake! Wanawake hapo wanajishusha sana ila hawaelewi tu! Urembo si mikorogo na mavitu ya bandia!
   REALITY IS THE ONLY SOLUTION TO ALL THE PUZZLES!

  12. King'asti's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th November 2009
   Location : Masaini
   Posts : 26,142
   Rep Power : 429502271
   Likes Received
   20929
   Likes Given
   10494

   Default Re: wema Sepetu Glitter Night

   Haya na kuuliza si ujinga. Kwani theme ya hii glitter night ilikuwa nini haswa?

   zomba, usijibu.

  13. webondo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th April 2012
   Location : Chini ya mwembe
   Posts : 1,651
   Rep Power : 818
   Likes Received
   260
   Likes Given
   617

   Default Re: wema Sepetu Glitter Night

   Quote By zomba View Post
   Hiki ni nini?

   This is diamond dot com. Nadhani nimekujibu uliyetaka kujua "hiki nini"

  14. zomba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th November 2007
   Posts : 17,181
   Rep Power : 11296
   Likes Received
   3532
   Likes Given
   2565

   Default Re: wema Sepetu Glitter Night

   Quote By Emilia View Post
   Da Nimependa nywele za yule mdada wa nyuma..
   Siku hizi ni mfuko wako tu au wa njemba zinazokuweka mjini. Si lazima uzaliwe mzungu au muasia.
   Last edited by zomba; 25th June 2012 at 10:36.
   System At Work

   "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

  15. King'asti's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th November 2009
   Location : Masaini
   Posts : 26,142
   Rep Power : 429502271
   Likes Received
   20929
   Likes Given
   10494

   Default

   Afu hizo nywele bandia zinaudhi kweli, hadi wenye nywele zetu nzuri hatuheshimiwi tena. Kha!
   Quote By zomba View Post
   Siku hizi ni mfuko wako tu au wa njemba zinazokuweka mjini. Si lazima uzaliwe mzungu au muasia.

  16. Emilia's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st October 2011
   Posts : 266
   Rep Power : 568
   Likes Received
   83
   Likes Given
   34

   Default

   Quote By zomba View Post
   Siku hizi ni mfuko wako tu au wa njemba zinazokuweka mjini. Si lazima uzaliwe mzungu au muasia.
   Najua zipo na zinauzwa,halafu mwanamke kupendeza na swala la njemba kumuweka mjini vinahusiana nini...?Yaani nywele tu mpaka mwanaume...? nahisi kama una uchungu sana na wanawake na hasira nyingi.

  17. zomba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th November 2007
   Posts : 17,181
   Rep Power : 11296
   Likes Received
   3532
   Likes Given
   2565

   Default Re: wema Sepetu Glitter Night

   Quote By Emilia View Post
   Najua zipo na zinauzwa,halafu mwanamke kupendeza na swala la njemba kumuweka mjini vinahusiana nini...?Yaani nywele tu mpaka mwanaume...? nahisi kama una uchungu sana na wanawake na hasira nyingi.
   Sipendi wanawake wanaoona Mungu kafanya makosa na kutaka kufanya kila njia waonekane kwa muonekano ambao sio wao wa asili, kama kujikoboa na kuvaa nywele za maiti.

   Nna wasifu sana wanawake ambao hawajihusihi na huo ujinga na nnawapenda sana, mfano avatar za Mwali.

   Tazama kama hiyo avatar yako, nywele za kihindi, rangi shombe wa kimanga na kinyamwezi. Inahusu nini?
   Last edited by zomba; 25th June 2012 at 13:52.
   System At Work

   "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

  18. Emilia's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st October 2011
   Posts : 266
   Rep Power : 568
   Likes Received
   83
   Likes Given
   34

   Default

   Quote By zomba View Post
   Sipendi wanawake wanaoona Mungu kafanya makosa na kutaka kufanya kila njia waonekane kwa nuonekano ambao sio wao wa asili, kama kujikoboa na kuvaa nywele za maiti.

   Nna wasifu sana wanawake ambao hawajihusihi na huo ujinga na nnawapenda sana, mfano avatar za Mwali.

   Tazama kama hiyo avatar yako, nywele za kihindi, rangi shombe wa kimanga na kinyamwezi. Inahusu nini?
   Kwanza kuhusu avatar yangu unasema Uongo huo uhindi hapo uko wapi,thats natural black beauty.
   Pili wanaojichubua na wenye hizo sifa unazodai zinakukera wapo na wataendelea kuwepo tu sio kutaka au kutotaka kwako wewe.

  19. zomba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th November 2007
   Posts : 17,181
   Rep Power : 11296
   Likes Received
   3532
   Likes Given
   2565

   Default Re: wema Sepetu Glitter Night

   Quote By Emilia View Post
   Kwanza kuhusu avatar yangu unasema Uongo huo uhindi hapo uko wapi,thats natural black beauty.
   Pili wanaojichubua na wenye hizo sifa unazodai zinakukera wapo na wataendelea kuwepo tu sio kutaka au kutotaka kwako wewe.
   Niaminishe na hizo nywele ni za mwenye hiyo avatar na si za kununua. Rangi naweza kukubali ni photo shop na kwenye nature hupatikana hapa kwetu kwa wale mashombe wa kimanga na kinyamwezi au kisukuma.

   Wapo na watakuwepo kibiashara zaidi hilo wala sikatai. Biashara ni matangazo na matangazo ni biashara kubwa zaidi.
   System At Work

   "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

  20. Emilia's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st October 2011
   Posts : 266
   Rep Power : 568
   Likes Received
   83
   Likes Given
   34

   Default

   Quote By zomba View Post
   Niaminishe na hizo nywele ni za mwenye hiyo avatar na si za kununua. Rangi naweza kukubali ni photo shop na kwenye nature hupatikana hapa kwetu kwa wale mashombe wa kimanga na kinyamwezi au kisukuma.

   Wapo na watakuwepo kibiashara zaidi hilo wala sikatai. Biashara ni matangazo na matangazo ni biashara kubwa zaidi.
   Hiyo ni weave ni hair style tu,zipo weave na wigi za aina nyingi Afro,Dread lockcs,Straight,Curl ni hair style tu,hadi mawigi ya yeboyebo yapo,nashangaa jinsi unavyokuza,eti kuvaa hayo ndio kujiuza...

   Kujiuza ni zaidi ya nguo na nywele.

  21. The Bleiz's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th January 2012
   Posts : 2,284
   Rep Power : 0
   Likes Received
   1031
   Likes Given
   1

   Default

   Quote By zomba View Post
   Hata mimi mtu mzima nimeipenda na nipo tayari kumnunulia RAV 4.
   Hata toyo hapo bado parefu...

  Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...