au wanataka kubackstroke ktk swimming pool??
..........................
au wanataka kubackstroke ktk swimming pool??
..........................
There are some people who could hear you speak a thousand words and still not understand you. And there are others who will understand—without you even speaking a word.
Hahaha wanakata gogo hao
Mwisho wa Ubaya Aibu.
wamekosa adabu na maarifa...they utilize their brains in the fashion they enjoy most
We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities.
Ralph Waldo Emerson
wanapumua
The world suffers a lot. Not because of the violence of bad people, but because of the silence of good people!
Haya ndio matatizo yanayoongezeka kutokana na ongezeko la watoto wa mitaani. Kama hali itaachwa kama ilivyo sasa miji yote itachafuka na hatutakaa kwa amani ingawa kila mtu anaona hana jukumu la kuchangia jinsi ya kupuinguza tatizo la watoto wa mtaani. Angalia hapa huu ni ukuta wa nyumba ya mtu na fikiria harufu na adha ya mikojo na choo inakuwaje kama waaaaao wenyewe tu wameziba pua?
Kila mtu na starehe yake..!kukata gogo nako n starehe
Duh Boflo unazipata wapi hizi picha?
Hahahahaaaa wanakata gogo kwa pamoja
Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
Acha Ngono,UKIMWI unaua!
Mpiga picha alitakiwa alie timing kimba likiwa linatoka. Ningelipia snapshot 1m
By the time a man comes to realize that his father was right, he usually has a son who think he is wrong.
Boflo Hi picha imenifanya nifikirie mambo mengi - hao jamaa baadae katika maisha yao!
Fikiria baadae mmoja hapo akipata URAIS alafu anawapa hao washkaji zake UWAZIRI .... unafikiri serikali yao itakuwaje?
Je! ataweza kuwawajibisha watakapofanya makosa?! ... maana watasema huyo Bwana Mkubwa hatujakutana nae barabarani! - (tumetoka nae mbali)! - tafsiri ya mbali ni kama hivi!
Dduhsi itnuhn kose kiri itda ---> 뜻이 있는 곳에 길이 있다
wanapeana kampani kukata gogo, lol
Dotworld na wewe! Khaaa! Yaani hapo umeona kuna rais au waziri hapo? Labda katika nchi ya wagagagigikoko.
“Anyone who has never made a mistake has never tried anything new” -
Albert Einstein
maisha magumu hawana 200 yakulipia
Wanajiminya...........
hahahhaha mkuu Dotworld kuna raisi hapo
Be who you are and say what you feel because those who mind don't matter and those who matter don't mind - "Dr. Sues"
Follow Us Here