Rais Kikwete akipanda ngazi kuangalia Pantoni inayotengenezwa huko Mwanza. Picha na Fredd Maro wa Ikulu
Kulikuwa na ulazima kweli na makamera yote hayo...??? mweh!!
Rais Kikwete akipanda ngazi kuangalia Pantoni inayotengenezwa huko Mwanza. Picha na Fredd Maro wa Ikulu
Kulikuwa na ulazima kweli na makamera yote hayo...??? mweh!!
[email protected]
Tunapotaka kubadilisha watawala si kwa sababu tunataka kubadilisha sura; bali kubadilisha utawala! Yaani, tunataka kubadilisha jinsi tunavyotawaliwa siyo tu sura za wanao tutawala M. M. Mwanakijiji
JK ni Mwanasiasa popote alipo 24/7...so pengine kisiasa kwa Tz...Yes kulikuwa na ulazima.
Je kama hawatengenezi vizuri yeye ana utaalam wakujua kitu hapo...
NO Hakukuwa na ulazima wowote ni mambo ya siasa hayo, hii inaonesha wazi jinsi siasa zetu zilivyopenya kila sehemu, na bora zingepenya kwa mazuri lkn hapa ni tofauti kabisa.
Kuna haja ya kubadili mfumo wetu wa siasa, yaani wanasiasa wabaki kama wanasiasa na masuala ya Kitaaluma waachiwe Wataalam wahusika wayashughulikie, Rais kwa fani yake hawezi kuona mapungufu yoyote ya matengenezo kama yapo, inahitaji wenye fani.
JK ni populist na opportunist.Hilo la u-populist ndilo linalonipa hofu zaidi kwani linanikumbusha how Hitler,Musolini na wanaharamu kama hao walivyoweza kuteka hisia za watu.
Hapo umenena Mlalahoi, watu wa namna hii ni Wakuogopwa sana, lolote laweza tokea.
nothing wrong with being a populist and opportunist. These are perfectly legal in politics
Ours is more of a celebrity than a president!
A Struggle Without Casualties is No Struggle-Steve Biko
DrWho, kulikuwa na ulazima wa Rais kupanda ngazi namna hiyo.. halafu angeanguka na clip ya kuanguka kwake ikawekwa youtube.. "the president falls" kwa sisi wengine tungekimbilia kusema the metaphor of the fall of the party!! Siasa ni umaarufu nakubaliana na you'll always have to capitalize on that.. but.. hilo la kwenye picha is beyond umaarufu!!!!
[email protected]
Tunapotaka kubadilisha watawala si kwa sababu tunataka kubadilisha sura; bali kubadilisha utawala! Yaani, tunataka kubadilisha jinsi tunavyotawaliwa siyo tu sura za wanao tutawala M. M. Mwanakijiji
lakini hapo hajaanguka mwanakjj, sasa ndio tuseme the rise of the party au, lol !!
kada.. inawezekana kabisa.. ila itakuwa "the rise of the party on shaky grounds" si unamuona anavyoshikilia huku watu wanamkodolea macho... Unajua kama angeanguka kamera zote zingenyang'anywa hapo?
Last edited by Mzee Mwanakijiji; 10th May 2007 at 18:18.
[email protected]
Tunapotaka kubadilisha watawala si kwa sababu tunataka kubadilisha sura; bali kubadilisha utawala! Yaani, tunataka kubadilisha jinsi tunavyotawaliwa siyo tu sura za wanao tutawala M. M. Mwanakijiji
Lets ask ourselves - Can you picture BM or for that matter Mwalimu ( a true Man of the People) doing that. NO. Why: because they are more sensible.
And at a constuction site one is required to wear a Hard Hat even if you have a head like EL
70mainrd... you made laugh... especially the double (triple???) meaning of the "head like EL"....
[email protected]
Tunapotaka kubadilisha watawala si kwa sababu tunataka kubadilisha sura; bali kubadilisha utawala! Yaani, tunataka kubadilisha jinsi tunavyotawaliwa siyo tu sura za wanao tutawala M. M. Mwanakijiji
nilipoiona hii picha....nilijiuliza....wangem daka?[hao walio chini,mama included]kamera achilia mbali!
halafu niliposoma....nakaona watu wangependa kuona picha za kuanguka kwake!...like in a movie hivi...but this is real life na huyu ndio jk...mtu wa watu!
we uliona tangu lini mtu wa pwani tena ustaadh akasubiri asimuliwe...badala ya kuona mwenyewe kwa macho yake?....ina nikumbusha nyakati za shughuli...ma-ustaadh lazima muwe mbele!
Dar na Lamu yote miji ya pwani, lakini haifanani!
Nyani... to some what a "populistic and opportunistic" leader wants become "perfectly legal in politics". This is so however, inspite of what is perfectly legal in fact and in law.
[email protected]
Tunapotaka kubadilisha watawala si kwa sababu tunataka kubadilisha sura; bali kubadilisha utawala! Yaani, tunataka kubadilisha jinsi tunavyotawaliwa siyo tu sura za wanao tutawala M. M. Mwanakijiji
Jamani mbona hata watu wake wa karibu awakumbusha kuvaa helmet ? kweli makubwa haya mimi nilikuwa najua Rais ndio anatakiwa awe mfano ....
Mwanasiasa:
Hivi kiswahili cha celebrity ni nini vile? Huu si msamiati wa WASANII? Anyway, usalama wanapaswa kuwajibika kwa kumweka Rais wetu at risk bila helmet! Sijui kama wanajua kama Rais akipata madhara nchi inaingia gharama za uchaguzi mwingine.
Lakini pengine wa kuwalaumu sio usalama. Pengine haiukuwemo kwenye ratiba Rais kupanda juu kuning'inia kama ndege. Kama hivyo ndivyo, Rais anapaswa kufundwa kuheshimu protocols!
Urais ni taasisi! Tabia za mtu zinapaswa ziheshimu taasisi ya urais.
Kama tuta-justify tukio hili tutegemee vituko vingine vikubwa zaidi baadaye.
Jj
Ni wakati wa Mabadiliko ya Kweli; tuwajibike!
Napatikana pia kupitia Facebook, Twitter na mnyika.blogspot.com
Follow Us Here