............
............
Last edited by TajiriMutoto; 30th June 2012 at 12:02.
Liwalo na liwe
mbona hela ndogo hiyo na wewe??je ukishika mil100 kama watoto wa tunduma si utataka tukuabudu
Delegate ahahhaha ni kweli ni kidogo sana sasa njoo tule bata
Liwalo na liwe
haha!...wallet yako halisi imegandana kabisa unajipa presha na hii iliyotuna!...
BTW unapatikana wap?
kama nakuona jinsi ambavyo maungo yako ya chini yatakuwa busy weekend hii! kila la heri but usisahau c.o.n.d.o.m.s.!
"the problem is not me! the problem is you understading me!"
[QUOTE=TajiriMutoto;4086843]Ahahaha, nipo Dodoma kwa sasa mkuu. Njoo Rose Garden utanikuta hapa counter na Ndovu nimevaa shati jeupe
carribean unapajua?
They wiil disqualify you for the little weaknesses you have and they will never glorify you for the great strength you have shown, Phd- Houston Texas July 23, 2012
Kama 1.7m mbona kidogo sana hiyo sijuia hata SMILE anaweza kubali kutoka na wewe kwa kiasi kama hicho...SMILE hupo?
Jamani CCM hamshibi?Mnataka kula mpaka ukoko jamani?2015 byeeeeeeeeeee.
kaazi kweli kwelii
Nyumba hujengwa kwa hekima,na kuimarishwa kwa busara.Kwa maarifa vyumba vyake hujazwa vitu vya thamani na vya kupendeza(mithali 24:3-4).
haya tena kula bata vizuri
[QUOTE=PhD;4087353]Mkuu PhD carribean kwa Mpare hapo sana tu, ila Mpare sijamtembelea longi sana sijui bado yupo?
Liwalo na liwe
mbona pesa yenyewe kidogo sana utaweza kweli?sitaki shuruba za kulelea mie.
Nyumba hujengwa kwa hekima,na kuimarishwa kwa busara.Kwa maarifa vyumba vyake hujazwa vitu vya thamani na vya kupendeza(mithali 24:3-4).
hiyo ni Dola elfu moja tu..! UNATUTISHA NA HELA YA MADAFU...! ingekuwa dola ungekuwa na noti moja tu humo!
POLITICIAN, ONE WHO SHAKES YOUR HAND BEFORE ELECTION AND YOUR CONFIDENCE LATER
Ahahaha, hela zipo nyingi tu mami Chauro, sema waleti yenyewe ndogo tu
Liwalo na liwe
Ahahaha, haina shaka SILENT WHISPER, nimekusoma. Napendaga sana wazee wakuponda
Liwalo na liwe
Picha ya siku mingi sana humu..
Follow Us Here