nimeishiwa maneno
Duh...Wazazi/walezi wa hao watoto ndo wenye matatizo..
Tombs?
duh..kazi ipo uswazi.....
Khaaa!
Sitilii neno
this is really sad
Kama Vipi nipotezee tu; ntakuboa....
Ndio hiyo faida ya kuzikiazikia kila sehemu. Lakini wana roho hawa, enzi zetu huthubutu kukaribia kaburi.
Blessed are hearts that bend but shall never broken
Haaaaaaaaaaah, hayo makaburi ya UAMSHO nin? hayaheshimiwi.
Makubwa haya , heshima kwa waliotangulia hakuna.
kirruuu......, hayo si ni makaburi??? yethu wangu, hawa watoto hawaogopi kufufukiwa...??!!
mamwanaa n malema
Aisee!!!!!
....Shimo La Panya Halifunikwi Kwa Mkate.....
[QUOTE=Mbuzi Mzee;4078281]haaa sikutegemea kukutana na kitu kama hichi looh sa inakuwaje hawaziheshim hizi nyumba za kudumu
Never hate people who are jealous of you,
Instead love them because they're the ones,
who think you are better than them…
Duh nimechoka kabisa.
Never hate people who are jealous of you,
Instead love them because they're the ones,
who think you are better than them…
duuuh hii sio sawa , makabuli holera
Follow Us Here