Mdudu anabostola, asogee mtu uone cha mtema kuni
Mdudu anabostola, asogee mtu uone cha mtema kuni
Sasa hiyo ni hangover, au ndio choka ya kazi
Blessed are hearts that bend but shall never broken
Hahahahaa!!! Funny!!
Jamani tuwacheni masihara huyu Mdudu ni mtamu!!
'' Mtu ni Utu sio Kitu''
unamdhallilisha ana heshima yake ya pekeeee!!!
.....Chuma cha reli hakishiki kutu...
kweli sasa hivi JAMII PHOTO, Inachekesha kuliko hata JOKES corner. kule ubabaishaji mwingi, hapa unaone live unakwayuka kwa kwa kwa kwaaaaa
If money doesn’t grow on trees then why banks have branches?
This is ridiculous
kweli dunia ina mambo
Huyu dawa yake mnamchinja akiwa tungi hivyohivyo. Mkila nyama yake wote mnalewa hamna haja ya kununua Konyagi.
Imekaa poa!
hahahah, mkuu unazitoaga wapi hizi picha..??? unatishaaaa....!!!
big up mbuz mzee
Follow Us Here