watu wamechoka na maisha,
uyo mtoto mwenye traksut ya lightblue sijui kafikaje apo,au yupo ndotoni
Dont frown while GOD is smilling
Dunia uwanja wa fujo, biharusi afanana na Diamond
Blessed are hearts that bend but shall never broken
hiyo itakuwa ni Liberia
nani muoaji na muolewaji? wate ni wanamme
Arusha ni mwanga wa TUMAINI jipya
hii kali sana
"Look Deep into Nature and then you will Understand Everything Better" - ALBERT Einstein
Sio harusi hiyo Mkuu Mbuzi, Ni muvi iitwayo MAN DOGG, waasi wanatumia watoto vitani huko Liberia. Hilo shela Diamond alipora tu.
Hii kali aisee
Use what you get to get what you want
hiyo sehemu gani Mbuzi Mzee?
Sherehe na majambia, bunduki mikononi wapi na wapi ,hiyo kiboko!
Hapa ikitokea kutokuelewana kidogo tu wanakutoa roho chap chap
Follow Us Here