Kama hiyo ya punda milia wa avatar yako? Picha haitingishiki ila macho yako ndio yanapepeseka yanafanya mchoro uonekane una move.
“Anyone who has never made a mistake has never tried anything new” -
Albert Einstein
masogange...
hivi vrusi vya H.I.V na wewe nani mchokozi?
freemanson!!!
.....Chuma cha reli hakishiki kutu...
Makirikiri
Mh! Sijui ni macho yangu.
mazingaumbwe...............!!! !
Hii picha nimeipenda sana. Watu wanaumiza vichwa alafu sisi tunatake simpo!
Nimeliona pepo la picha!!!
"If you don't know where you are going, any road will get you there-nowhere”
Mwigulu Nchemba!
" Ni fahari sana kuwa Mkristo "
kwahio tuifanyeje baada ya kua macho ndo yanayochezesha picha?
macho ndio yanachachawa na mistari mistari wala picha haitingishiki...!!
ukitaka kujua kuwa haitingishiki ziba picha yote ya nje halafu acha hiyo ya ndani ndiyo utaona kuwa haitingishiki
Follow Us Here