Habib Kolo Toure Beki wa Man City ya England na timu ya Taifa ya Ivory Coast akiwa na "my wife wake" baada ya kufunga ndoa jana.
Habib Kolo Toure Beki wa Man City ya England na timu ya Taifa ya Ivory Coast akiwa na "my wife wake" baada ya kufunga ndoa jana.
Last edited by MDAU JR; 17th June 2012 at 01:32.
LAA ILAHA ILLALLAH MUHAMMADUR RASULULLAH
Kumbe hii kitu wanaifanya wengi ya kuoa siku chache kabla ya ramadhani? Nimeizoea huku kwetu Tandika. Hakuna kuotoka mazoezini na kuangaika kutafuta futari.
kwahiyo huyu ndio alikua anatumia mkorogo wenye illicit substances zilizomfelisha kolo dope test....
Na ukiangali face ya mukologu...
Nimefurahi hajaoa mzungu.................
hivi wakati wa ramazani wanafanya mapenzi au la, yani mtu na mkewe waliyefunga ndoa ya kiislam wanaweza kufanya mapenzi wakati wamefunga au mwezi mzima wanakuwa wakame ili kutesti imani yao kama wanaweza kuabstain,....au ukiwa na mke unafanya....mimi hua sijui naomba anayejua tafadhali.
Tanzania ni tajiri,tena tajiri sanaaaa, lakini dah we acha tu! sijui kwanini watu wake masikini?
Kolo Toure ni beki wa Manchester City na si Arsenal.
Wengi wao huoa kwa haraka just before Ramadhani, kuna belief which is not true, kwamba its not good or ndoa itakuwa haina baraka if its done between two Eids. Which is completely lame, there is not such thing in Islam, simply ignorant. Watu wanaoa hata during ramadhani which is very much permissible but should be of low profile.
Wengine simply wanataka wapikiwe mahanjumati ya ramadhani wakiwa kwao wasitegee mamalishe.
Blessed are hearts that bend but shall never broken
zomba, hebu njoo uwasute ma-bi harusi wa siku hizi wa kiislamu. Manake shurti cleavage ioneshwe! Ona huyu alivyojisitiri,lol!
Beki wa Arsenal? Big up Kolo.. Wachezaji wengi weusi ulaya hupenda kuoa wazungu kolo kaonesha Mfano. Na si kama Eboue na zungu lake.
System At Work
"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
Follow Us Here