Habib Kolo Toure Beki wa Man City ya England na timu ya Taifa ya Ivory Coast akiwa na "my wife wake" baada ya kufunga ndoa jana.
Habib Kolo Toure Beki wa Man City ya England na timu ya Taifa ya Ivory Coast akiwa na "my wife wake" baada ya kufunga ndoa jana.
Last edited by MDAU JR; 17th June 2012 at 01:32.
LAA ILAHA ILLALLAH MUHAMMADUR RASULULLAH
Nywele hazimati mme ni muislam mke sio muislam ndo maana kawaonyesha nywele hizo King'asti
She must be muslim for the marriage to take place in Mosque, otherwise its grave mistake. Kolo Toure off the market - SuperSport - Football
Blessed are hearts that bend but shall never broken
Dini hii hii upande wa Cameroon inaruhusu viduku, hapa kwetu ni dhambi. Hapa unaruhusiwa kufuga ndevu tu ndio suna
Hivi uliulizwa UNAFIKIRI NINI KUHUSU WAKRISTO au uliulizwa KWA WAISLAMU TARATIBU ZIKOJE? Wewe jibu ulipoulizwa na sio kudhania dhania vitu.
Kuna maswali hapa yanahitaji majibu na wewe uko bize kudhania dhania, ebo!
1. Huyu jamaa alishagonga mzigo na ana wana-haramu wawili, je hawa wanaharamu wakifa, kaburi lao litaandikwa Toure au Fatuma kama ubini?
2. Mule ndani ya kibaraghashia mmenyolewa 'denge', je kwa dini yetu ya Zanzibar sio dhambi kuingia na denge msikitini?
3. Watoto haramu kama wa Habib, wanaoshwa wapi wasiwe haramu tena?
4. Je, hawa wana-haramu wakizaa watoto na watoto wao ni haramu pia?
Karibu mufti kwa majibu
Kitu mashaalwa si haba
Kujadili kama UKRISTO UNARUHUSU KILIVAJ hata hapa inafaa ila maswali yangu ndio magumu kuyajibia hapa. Wewe ni wa kusema hili la dini na hili si la dini? Umekimbia kujibu maswali kama kawaida yako na badala yake unajibu mipasho na kuongeza yasiyokuwepo ili mradi swali lisijibike.
Kama unajua kuwa kuna jukwaa la dini, bila shaka una nafasi nzuri ya kuwaambia wale wahuni kule Zanzibar kuwa, KAMA WANACHODAI NI HAKI YA ZANZIBAR KUJITAWALA, BASI WAPANDE KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA NA SIO KWENYE MISIKITI. Umekimbia hili swali kule na kuja kujifanya una busara ya kutenganisha dini na siasa hapa kwenye upotofu unaoukosea majibu.
Maswali yangu bado yanadumu: PANKI, WANA HARAMU?
Halafu swali lako kuhusu Ukristo sitaweza kulijibu kwa kuwa wewe na MadameX mnatumia lugha ya kigeni, mimi sijui maana ya KLEVELIJ hata kutamka sijui
1. Si kwamba ni lazima mpaka wafe, hata wakiwa hai hawaruhusiwi kutumia jina lake, kumrithi au kurithiwa naye, kuwa waliy yaani kumuozesha ikiwa ni wa kike na haki zote azipatazo mtoto kwa baba au baba kwa mtoto ktk sheria za kiislam.
2. Mkuu, Hakuna dini ya Zanzibar. Style ya unyoaji haimzuii mtu msikitini unless uwe umenyoa kihuni coz uislam hauruhusu aina yoyote ya uhuni si kwenye unyoaji tu hata mavazi na vinginevyo.
3. Watoto hawana kosa lolote, uharamu hapo ni ktk hayo niliyoyataja kwenye na. 1 hapo juu, si kwamba hawastihili kuwepo duniani, si kwamba ni banadamu haramu kama ulivyoelewa wewe la hasha,hilo ni kosa la baba yao na wao watahukumiwa kwa makosa watakayoyafanya wao wenyewe ktk maisha yao na hili la baba yao haliwahusu kabisa.
4. Wakizaa nje ya ndoa kama alivyofanya baba yao inakuwa the same, wakifuata tartibu hakuna tatizo.
Hope umenisoma mkuu.
NB. Iwapo nimeteleza mahala kwa wale wanaofahamu zaidi wanirekebishe tu, maana wa Allahu 'aalam (Mwenyezimungu ndiye anayejuwa zaidi)
LAA ILAHA ILLALLAH MUHAMMADUR RASULULLAH
Las Mas Bobos
Naomba nijibu hata kama haiko directed to me, zomba ataongeza anachokifahamu akiamka lol
1 - Kisheria wanatakiwa wasitumie ubini wa baba
2-Sijui denge ni aina gani za nywele, as long as ni zake mwenyewe hakuna bandia uislam hakuna sheria ya kukataza hiyo hair cut, lakini inawezekana ikawa ni makruh (undesirable thing)
3-Hakuna takaso, they will remain the same lakini kwenye sheria ya mirathi hawarithi. Hii inawagusa zaidi hasa wale wenye nyumba ndogo bila ya ndoa. Kidini watoto wa haramu hawarithi, full stop
4-Wanatoto wao wanakuwa wanahalali kama ndoa ilipita kabla ya kuzaliwa kwao unless wao pia wanafuata mkumbo wa wazee wao
Blessed are hearts that bend but shall never broken
Mchezaji yeyote akitoka arsenal basi ndo mwisho wake ujue umefika ni nani aliyetoka arsenal na bado akaendelea kuwika? nasri hayupo kwa mipango ya mancini kashaambiwa na sasa anataka kuondoka mcfc, fabregas kaenda barca barca imeanza pata gundu la kukosa vikombe, clichy atleast anacheza mara kadhaa mcfc lakini ndo kashapoteza jina alilojenga arsenal.
System At Work
"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
Follow Us Here