wee nawe kwa ukorofi tu huwezekani hadi umwmweka wa rangi ya kijani!
Haswaaa, halafu kuna wanayoyakimbilia yakishavuliwa! kwi kwi kwi kwi Teh teh teh
System At Work
"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
tatizo lake hata mwaka hauishi hilo jipya la ndani linakuwa tayari baya, hivyo anavua tena gamba, hakuna kwamba akivua ndo mambo yake yatakuwa mazuri asivue gamba tena, yeye ni wa magamba tu muda wooote.....
Tanzania ni tajiri,tena tajiri sanaaaa, lakini dah we acha tu! sijui kwanini watu wake masikini?
Huyo ni Nape!![]()
i love JF i live in JF i lough in JF JF, is everything to me.
If money doesn’t grow on trees then why banks have branches?
mbona analovua ndio gwanda
Follow Us Here