hivi atAkumbuka kweli aliyofundishwa na mwalimuˇˇ
hivi atAkumbuka kweli aliyofundishwa na mwalimuˇˇ
Danger.....
hatari hiyo,niliwai kuona japo hivo uwa inatokea sana
Yote hayo ni sababu maisha magumu(kukosa nauli) na pia wanafunzi wanazuiwa na ma konda kupanda dala dala.
anapenda shule. mia
ushaambiwa wewe ukiishi tu bongo daslama bila hata kwenda shule wewe ni form six, ukisoma day dsm form one hadi six tayari wewe kwa akili ya maisha ni university graduate, uyo dogo akimaliza darasa la saba anakuwa anajua maisha kama madogo wa form four au six....hiyo ndo bongo darisalama.
Kama huna meno,usile bisi, kula Bwimbwi yaani kimbugi. Uongozi ukikushinda waachie wanaoweza!
Life was Simple When Apples and Blackberries were Just Fruits
Very sad! Hawa jamaa jiskiaje wakiwa ndani ya "mashangingi" ya pesa za wananchi?
dah kweli noumaa
ila unaweza kuta ndo kinaongoza darasani....
kwa ujinga lakini
ccm ndipo walipo tufikisha na wanajivunia ujinga wao
Follow Us Here