unanikumbusha enzi zangu nlivokua GUANTANAMO
mbona wajanja wanapiga hapo hapo.......
Life is too short to waste time hating anyone.........
Ni mguu tu au kafunga na private area sababu kama katoka wajamen wanaendelea na shughuli kama kawa tena hapo watongeza na maujanja
kaaazi kweli kweli......................!
The greatest conquerer is he who overcomes the enemy without a blow.
jamaa ktk avatar yako namkubali sanakijembeee
huyo jamaa ndo jembe kubwa afu mimi ndo kijembeee
Huyo mwanamama ameshindikana, hii haisaidii piga kibuti awnawake wako wengi.
hivyo vidole vya mguu vinatafsiri,,,,,,,,,,,,
Akipoteza funguo za kufuli inabidi wote walale hapo chini ya mti!
“Anyone who has never made a mistake has never tried anything new” -
Albert Einstein
Aliyefungwa ni chizi wajemeni
Huyo mbona masela wanabanjua hapohapo
Watu wanagongea kwenye tundu la fence sembuse hapo yani kiulaiiiinnniiiii
Follow Us Here