Duh, halafu aliyelala pale sijui kama ni binadamu!
Hiyo shuka mbona inatoa rangi hivyo? Mpaka mwili umekuwa na rangi ya shuka!
“Anyone who has never made a mistake has never tried anything new” -
Albert Einstein
Siku zote namkubali.
na hiki kitakuwa ni kiumbe kutoka hifadhi ya gombe
Kama damu inakusisimka unapoona haki ya mtu ikipokwa na uko tayari kuitetea kwa gharama yeyote, basi hakika wewe ni Comrade wangu-Che Guevara.
....kwa matumizi ya lugha ya picha,i salute u Mr.!
Kama Shuka ni fupi sana afumue na mapindo iongezeke urefu
Ametisha MASOUD.
ADC - DIRA YA MABADILIKO : ADC - TUMAINI LA MTANZANIA.
Halafu hilitumii neti....
Malaria itaishaje?
umetisha kaka
na hiki kitakuwa ni kiumbe kutoka hifadhi ya gombe
Ina maana Wahasira anatokea gombe? tehe tehe tehe tehe!!!!!
fearless KIPANYA.. you r among the very few. mwingine angejiuliza watanionaje!!
ilo shuka au nape...?? eeeh sory nepi..???
Kipanya unatisha, wape za uso.
thafi thanaaaaaaaaaaaaaaaa
Follow Us Here