Mwenyekiti wangu Rage anayo kwa nini mimi nisiwe nayo
![]()
Mwenyekiti wangu Rage anayo kwa nini mimi nisiwe nayo
![]()
JF the best place to be. and the POWER of God be with us all the time.
Hao wanakosea. Nilipokuwa mdogo niliwahi kuona hiyo kitu chumbani kwa dingi kaificha (Nilikuwa mtundu usiulize maswali). Ila nilikuwa najiuliza "hivi jambazi akituvamia baba ataweza kweli kuwahi kuichukua huku alipoificha"? Nilitamani sana kumwuliza hilo swali lkn nikawa naogopa atakaponiuliza nimejuaje ntajibu nini.
“Anyone who has never made a mistake has never tried anything new” -
Albert Einstein
Na kwa profile picture yako mwaJ naona una 'utundu' mzuri zaidi ya kufichua bastola, ha ha ha
Last edited by Ronn M; 11th June 2012 at 21:57.
aisee Mzizi mkavu upo wapi,maan nahitaji sana hiyo kitu...
Huwa najiuliza nikiweka kiunoni itadonda, maana kiuno chenyewe kimekaa vby,
mwaJ is it!!? ...! lakni najua ni mzuri kwenye EI!!! lol and that all it matters!! lol!!
Never Get Angry; Never Make Threat; Reason With People;
"Napenda the logic of the words because in some ways it says about individual-not to use emotions-when scrutinizing something, whether it involves you or not" ...-by AshaDiii @ Jamiiforums 26th July 2011.
Ni kwa mara ya kwanza nimeiona hii kitu kwa karibu, Mungu pisha mbali.
MY LOVE IS YOUR LOVE.
hee watu wana hamu na sumu
Nakuunga mkono Mkuu. Mifano halisi na ya karibu ni Ukiwaona D. Mzuzuri (RIP) na Rage. Mfano tarajiwa ni kwamba sio kila wakati utakuwa unatembea nayo hata ukiwa Msikitini au Kanisani. Kuna siku "Wanao Kusanya bila Kutawanya" wakakuvizia getini wakati unaingia nyumbani, wakucharange mapanga wewe, Darling wako na watoto wote hadi utakapoufukua kule shimoni kwenye uvungu wa kitanda na kuwapatia waondoke nao. Baada ya hapo utauguza makovu ya mapanga na kujieleza Polisi Post ilikuwaje mguu wa kuku ukachuliwa !!!
INAWEZEKANA, TIMIZA WAJIBU WAKO
INAWEZEKANA, TIMIZA WAJIBU WAKO
Follow Us Here