Mwenyekiti wangu Rage anayo kwa nini mimi nisiwe nayo
Mwenyekiti wangu Rage anayo kwa nini mimi nisiwe nayo
JF the best place to be. and the POWER of God be with us all the time.
Sh ngapi?
Ad Majorem Dei Gloriam - "For the greater glory of God"
mchakato unaenda duka la silaha (tanganyika arms) unachagua unayoitaka kama ni glock, perreta... unailipia full amaunt then mashine inakuwa reserved, unapewa receipt na fomu unapeleka serikali za mitaa/mjumbe anarecomend then unapeleka polisi wilaya wanakuchunguza/kuhoji na wanarecomend then polisi mkoa nao unawapelekea. ukipitishwa na hao wote unarudisha fomu pale ulipolipia wanakupa mafunzo mafupi then unakabidhiwa mashine.... only that LAKINI polisi wakirecomend usipewe unakuwa refunded full amaunt
So they build their world in great confusion to force on us the devil's illusion.
Mkuu Saint Ivuga hiyo kitu ni muhimu sana katika maisha yetu,tatizo ni kuwa watu hawajui umuhimu wake na kila mtu anaiogopa.Wachache wenye uwezo wa kuzipata ndio wanatusumbua mitaani kwa ujambazi.Lakini kwa wenzetu hasa hapa ninapoishi kila mtu anamheshimu mwenzake na hata uache mlango wazi usiku kucha hakuna yeyote atakayeisogelea nyumba yako maana anajua akija ni kujitafutia mauti..
UKICHOKA KUFANYA SIRI,FUMANIWA TU YAISHE . By Simon Kitururu.
hivi zinapatikaje hizi maana nnahisi wife atajifungua katoto ka kike hivi karibuni na ninavyo fahamu damu ya wife ilivyo kali lazima katakua copyright..nimeahirisha kufuga mbwa mkali kwani gharama sana kuwalisha ila hii kitu ukiwa nayo hamna gharama yoyote
hii kitu ukiwa nayo unakuwa unawashwa washwa tu kumpa mtu kitu
dont try this at home
Ukihitaji hii kitu unaweza kuipata. Pitia maduka ya Tanganyika arms, watakupa taarifa zaidi. Mashaka yangu ni kuwa wale jamaa wa kazi wanaweza kukufata ili waichukue wakafanyie kazi
Use what you get to get what you want
naomba uniazime mara moja. Mia
Huu ndo mpango mzima, kitu AK 47,
ha ha ha, ingawa watanzania wengi wanamisuse! Mwulize Saint Ivuga akwambie. Mwingine
anakupa lift amekaweka kwenye dash board! Mwingine akifika rose garden anaagiza kalocal beer anakaweka mezani ili
mradi tuu kupeana presha
I am not the same person today as I was 10, 20, or 30 years ago, for I have welcomed life's changes on my heart, face, and mind.
JF haiishi vituko.hii thread ningekuwa nimeianzisha mtu kama mimi ningeshapigwa bann.
"The only true wisdom is in knowing you know nothing"
Nina hamu nayo sana hii kitu,lkn kwa jinsi nilivyo na madereva wa daladala na ninapomkumbuka Marehemu Brother Dito(RIP) naona bora ni'vutevute subira kwanza.
Follow Us Here