KAZI NDIO MSINGI WA MAENDELEO. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUENDELEA KWA MSINGI WA FEDHA. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUJITAWALA KAMA INATEGEMEA MSAADA KUTOKA NCHI ZA NJE- J. K. NYERERE
Ushamba wakikua wataacha wape mda tu.
wameshauliana pozi la kukaa wamekosa ndo maana wakafanya hivyo. Mia
mbona hawa ni watoto ndio wakati wao jamani lolz! give them a break, waache wafanya hayo tena home mimi nakubal kuliko kutoka na kwenda club usiku at that age.
hawa watakua wametumia digital kamera kwa mara ya kwanza..
hii mambo tulikuaga tunafanya miaka ya 90 enzi za chachacha
We Jamaa utakuwa una personal zako tuu...izi ni private pics hakuna forrmula ya kupiga picha...
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Hizo ni dalili za pombe kukaa kichwani.
Advertise your products, business & services with us 100% free |www.globaladverts.biz
Mbona wamependeza na style yao siyo lazima kila picha zifanane
Ushamba na matingasi hayo.
wewe ulitaka waige style zako?kila mtu ama maamuzi yake.
ni pozi jipya hilo,sijawahi liona!
ulijuaje kama birthday?maana hakuna dalili hiyo,au ulikuwepo halafu mkaudhiana?
kama ni enzi za mwalimu,basi walikua wajanja hakuna tena
sio fair
Kama Vipi nipotezee tu; ntakuboa....
Follow Us Here