Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Haya wale wasiomjuwa jini (pepo) ndio huyo picha yake anatisha usiangalie please

    Report Post
    Page 4 of 7 FirstFirst ... 23456 ... LastLast
    Results 61 to 80 of 126
    1. #1
      MziziMkavu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2009
      Location : European Union
      Posts : 22,113
      Rep Power : 19194
      Likes Received
      8047
      Likes Given
      26489

      Default Haya wale wasiomjuwa jini (pepo) ndio huyo picha yake anatisha usiangalie please

      “The truth of the matter is that the father of the jinn is other than Satan, although Satan does belong to the species of the jinn. The father of the jinn is a hermaphrodite [khuntha]…There is no benefit in spending time with them, and their company is positively harmful. Since they are created of fire and air, their principal attributes are pride and rebelliousness. Those who frequent them are thereby infected with arrogance and conceit…Warfare amongst them is not rare, since their essential attributes are boastfulness, asserting superiority over one another, arrogance and overbearing tyranny…On the Day of resurrection, those of them who deserve punishment are thrown in to the cold hell, since they are not affected by fire.”

      jmushi1, FirstLady1, Boflo and 6 others like this.
      Only Do What Your Heart Tells You

      Allah
      Has Not Revealed A Disease without Treatment....
      (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]

    2. FemaTV & Radio

    3. #61
      jmushi1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd November 2007
      Posts : 14,375
      Rep Power : 16492
      Likes Received
      4298
      Likes Given
      5491

      Default Re: Haya wale wasiomjuwa jini (pepo) ndio huyo picha yake anatisha usiangalie please

      Quote By Bumpkin Billionare
      Kwa imani na malezi yako umefundishwa kuyakemea na kuyakataa, ila wapo ambao wanaamini ni mazuri kama ambavyo wenyewe wamesema na ni sehemu ya familia zao. Usiogope sana, as far as you know what to believe. Lakini yapo na usikatae picha ya baba ikiwa aliyeileta ni mwana.
      Acha uongo mkuu,na mtu akiweka hapa picha akasema ni ya mungu wengine mtakubali?
      MziziMkavu likes this.
      "One of the penalties for refusing to participate in politics is that you end up being governed by your inferiors"-Plato

    4. #62
      MziziMkavu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2009
      Location : European Union
      Posts : 22,113
      Rep Power : 19194
      Likes Received
      8047
      Likes Given
      26489

      Default Re: Haya wale wasiomjuwa jini (pepo) ndio huyo picha yake anatisha usiangalie please

      Quote By jmushi1
      Duh!ushahidi gani unaotaka uletewe?Mbona hizo issue ziko wazi tu kitaa?Binafsi siamini haya mambo ya imani za uchawi,however yapo kwenye jamii na ni kweli alichosema Mawenzi
      Mkuu@jmushi Sio Ukweli anayoyasema mkuu . Mawenzi Kwani Bwana Yesu hakuwa anatowa MaPepo Wachafu? Mkuu jmushi unasoma kweli biblia? Hebu soma Biblia hii hapa

      Mathayo 27.43Na pepo wachafu, kila walipomwona, walianguka mbele yake, wakalia wakisema, Wewe ndiwe Mwana wa Mungu. Akawakataza sana, wasimdhihirishe.

      Mathayo, Chapter 9: 9:34 Lakini Mafarisayo wakawa wanasema, "Anawatoa pepo kwa nguvu ya mkuu wa pepo wabaya."

      Mathayo, Chapter 10: 10:8 Ponyeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo. Mmepewa bure, toeni bure.

      Mathayo, Chapter 12:

      12:22 Hapo watu wakamletea Yesu kipofu mmoja ambaye alikuwa bubu kwa sababu alikuwa amepagawa na pepo. Yesu akamponya hata, akaweza kusemana kuona.

      12:24 Lakini Mafarisayo waliposikia hayo, wakasema, "Mtu huyu anawafukuza pepo kwa uwezo wa Beelzebuli, mkuu wa pepo."

      12:26 Ikiwa Shetani anamfukuza Shetani, anajipinga mwenyewe. Basi, ufalme wake utasimamaje?
      12:27 Ninyi mnasema ati nawafukuza pepo kwa uwezo wa Beelzebuli; je, watoto wenu huwafukuza kwa uwezo wa nani? Kwa sababu hiyo wao ndiowatakaowahukumu ninyi.

      12:28 Lakini ikiwa ninawafukuza pepo kwa nguvu ya Roho wa Mungu, basi jueni kwamba Ufalme wa Mungu umekwisha fika kwenu.

      Mkuu zipo aya nyingi zinazosema kuwa Bwana YESU alikuwa anawafukuza Pepo Wabaya sasa na huyo YESU naye tumuiteje? YESU Muislam anayewafukuza Ma Pepo Wachafu? Usiunge mkono pasipo na ushahidi soma kwanza ndio uunge mkono.. jmushi1
      jmushi1 likes this.
      Only Do What Your Heart Tells You

      Allah
      Has Not Revealed A Disease without Treatment....
      (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]

    5. #63
      New Nytemare's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 15th December 2011
      Location : Njombe Tanzania
      Posts : 172
      Rep Power : 409
      Likes Received
      30
      Likes Given
      2

      Default

      Quote By Baba V
      Sema kiarabu sio kiislam
      maandish ya ki islam..arab ndo islam

    6. #64
      Saint Ivuga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st August 2008
      Posts : 20,626
      Rep Power : 10157
      Likes Received
      5644
      Likes Given
      12664

      Default Re: Haya wale wasiomjuwa jini (pepo) ndio huyo picha yake anatisha usiangalie please

      mbona jini ana busha?
      MziziMkavu likes this.
      JF the best place to be. and the POWER of God be with us all the time.

    7. #65
      Ndahani's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 3rd June 2008
      Location : Somewhere
      Posts : 9,645
      Rep Power : 4015
      Likes Received
      2940
      Likes Given
      5063

      Default Re: Haya wale wasiomjuwa jini (pepo) ndio huyo picha yake anatisha usiangalie please

      Sasa vipi wale wanaowatumia kwenye biashara, mapenzi au mambo mengine ya maisha?
      MziziMkavu likes this.
      We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities.
      Ralph Waldo Emerson

    8. Study Abroad

    9. #66
      MziziMkavu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2009
      Location : European Union
      Posts : 22,113
      Rep Power : 19194
      Likes Received
      8047
      Likes Given
      26489

      Default Re: Haya wale wasiomjuwa jini (pepo) ndio huyo picha yake anatisha usiangalie please

      Quote By New Nytemare
      maandish ya ki islam..arab ndo islam
      Neno Arab Sio Uislam au kiislam wapo waarabu Wakristo je tuwaiteje? Wakristo Waislam? Acheni upofu wenu Wa Tanzania Safirini muone Waaarabu Wakristo

      wapo Misri Iraki Syria na Lebanon tena wengi tu miye nilikuwa nae muarabu mkristo mlebanon anaitwa Ali. huku hawatizami jina eti wewe unaitwa Chrles johni basi basi ni mkristo? mimi mbona naitwa Jina langu a Kizaramo

      (MziziMkavu)
      na ni muislam? Dini na Uarabu ni vitu tofauti kabisa . Mbona wewe ni mkristo mbona hatukuiti myahudi?

      Kwani Bwana Yesu ni Myahadi je Wakristo wote waliopo Tanzania wanayemfuata Bwana YESU ni Wayahudi? kwa sab abu

      bwana YESU alitumwa kwa Wayahudi je wewe Mtanzania unayemfuata Bwana YESU tukuit na wewe pia Myahudi? Acheni ujinga wenu huo Wa Tanzania someni mpate kujuwa.
      Only Do What Your Heart Tells You

      Allah
      Has Not Revealed A Disease without Treatment....
      (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]

    10. #67
      MziziMkavu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2009
      Location : European Union
      Posts : 22,113
      Rep Power : 19194
      Likes Received
      8047
      Likes Given
      26489

      Default Re: Haya wale wasiomjuwa jini (pepo) ndio huyo picha yake anatisha usiangalie please

      Quote By Saint Ivuga
      mbona jini ana busha?
      Mkuu Majini wanayo mabusha majini wanazaa kama binadamu majini wapo wa aina nyingi tu usishangae hilo majini wapo walevi wavuta unga wazinifu wagomvi,majini wana tabia kama za binadamu tu ila wapo wengi kuliko binadamu........... Saint Ivuga
      Only Do What Your Heart Tells You

      Allah
      Has Not Revealed A Disease without Treatment....
      (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]

    11. #68
      jmushi1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd November 2007
      Posts : 14,375
      Rep Power : 16492
      Likes Received
      4298
      Likes Given
      5491

      Default Re: Haya wale wasiomjuwa jini (pepo) ndio huyo picha yake anatisha usiangalie please

      Quote By MziziMkavu
      Mkuu@jmushi Sio Ukweli anayoyasema mkuu . Mawenzi Kwani Bwana Yesu hakuwa anatowa MaPepo Wachafu? Mkuu jmushi unasoma kweli biblia? Hebu soma Biblia hii hapa

      Mathayo 27.43Na pepo wachafu, kila walipomwona, walianguka mbele yake, wakalia wakisema, Wewe ndiwe Mwana wa Mungu. Akawakataza sana, wasimdhihirishe.

      Mathayo, Chapter 9: 9:34 Lakini Mafarisayo wakawa wanasema, "Anawatoa pepo kwa nguvu ya mkuu wa pepo wabaya."

      Mathayo, Chapter 10: 10:8 Ponyeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo. Mmepewa bure, toeni bure.

      Mathayo, Chapter 12:

      12:22 Hapo watu wakamletea Yesu kipofu mmoja ambaye alikuwa bubu kwa sababu alikuwa amepagawa na pepo. Yesu akamponya hata, akaweza kusemana kuona.

      12:24 Lakini Mafarisayo waliposikia hayo, wakasema, "Mtu huyu anawafukuza pepo kwa uwezo wa Beelzebuli, mkuu wa pepo."

      12:26 Ikiwa Shetani anamfukuza Shetani, anajipinga mwenyewe. Basi, ufalme wake utasimamaje?
      12:27 Ninyi mnasema ati nawafukuza pepo kwa uwezo wa Beelzebuli; je, watoto wenu huwafukuza kwa uwezo wa nani? Kwa sababu hiyo wao ndiowatakaowahukumu ninyi.

      12:28 Lakini ikiwa ninawafukuza pepo kwa nguvu ya Roho wa Mungu, basi jueni kwamba Ufalme wa Mungu umekwisha fika kwenu.

      Mkuu zipo aya nyingi zinazosema kuwa Bwana YESU alikuwa anawafukuza Pepo Wabaya sasa na huyo YESU naye tumuiteje? YESU Muislam anayewafukuza Ma Pepo Wachafu? Usiunge mkono pasipo na ushahidi soma kwanza ndio uunge mkono.. jmushi1
      Mkuu naona umesahau kuwa "imani si vile vinavyo onekana kwa macho ya kibinadamu",hiyo imagination ya shetani sijui na majini nani kaileta?Na mtu mwingine akileta ya kwake akasema huyu ndo mungu mtasemaje?Unajuwa bible inasema Mungu alimuumba mwanadamu kwa mfano wake?
      "One of the penalties for refusing to participate in politics is that you end up being governed by your inferiors"-Plato

    12. #69
      Ndahani's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 3rd June 2008
      Location : Somewhere
      Posts : 9,645
      Rep Power : 4015
      Likes Received
      2940
      Likes Given
      5063

      Default Re: Haya wale wasiomjuwa jini (pepo) ndio huyo picha yake anatisha usiangalie please

      Quote By MziziMkavu
      Mkuu Majini wanayo mabusha majini wanazaa kama binadamu majini wapo wa aina nyingi tu usishangae hilo majini wapo walevi wavuta unga wazinifu wagomvi,majini wana tabia kama za binadamu tu ila wapo wengi kuliko binadamu........... Saint Ivuga
      Elimu kama hiyo umeipata wapi MziziMkavu? Maana wengi wenye elimu hiyo ni watabiri
      MziziMkavu likes this.
      We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities.
      Ralph Waldo Emerson

    13. #70
      MziziMkavu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2009
      Location : European Union
      Posts : 22,113
      Rep Power : 19194
      Likes Received
      8047
      Likes Given
      26489

      Default Re: Haya wale wasiomjuwa jini (pepo) ndio huyo picha yake anatisha usiangalie please

      Quote By Ndahani
      Elimu kama hiyo umeipata wapi MziziMkavu? Maana wengi wenye elimu hiyo ni watabiri
      Mku Kwa waisla neno Majini ,Malaika,Mashetani ni kitu cha kawaida hawa ni viumbe wa Mwenyeezi Mungu. Kwani katika kitabu cha waislam Quran kinafundisha kuwa Binadamu ni kiumbe wa mwisho kuumbwa duniani Sijuwi

      nyinyi Wenzetu huko makanisani hamuwaulizi Ma Padri na Maaskofu au Wachungaji maswali ya dini? kila siku Maaskofu na hao wachungaji wanafundisha Bwana YESU Mwana Mungu mungu mwenyewe hakuna mafundisho makubwa kanisani ila ni

      hayo basi hiyo dini yenu ya kikristo hakuna maswali wala majibu ? ndio maana Wakristo wengi ukitaja neno majini wanaogpa na wengi wao watupu hawajuwi kutkana huko kanisani hakuna maswali wala majibu poleni sana ndugu zangu Wakristo. mimi sio mtabiri mimi ni mzizimkavu hauchimbwi Dawa.
      Ndahani likes this.
      Only Do What Your Heart Tells You

      Allah
      Has Not Revealed A Disease without Treatment....
      (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]

    14. #71
      MziziMkavu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2009
      Location : European Union
      Posts : 22,113
      Rep Power : 19194
      Likes Received
      8047
      Likes Given
      26489

      Default Re: Haya wale wasiomjuwa jini (pepo) ndio huyo picha yake anatisha usiangalie please

      Quote By jmushi1
      Mkuu naona umesahau kuwa "imani si vile vinavyo onekana kwa macho ya kibinadamu",hiyo imagination ya shetani sijui na majini nani kaileta?Na mtu mwingine akileta ya kwake akasema huyu ndo mungu mtasemaje?Unajuwa bible inasema Mungu alimuumba mwanadamu kwa mfano wake?
      Mkuu jmushi wewe unaamini kuwa Biblia ni neno la Mungu? iweje huyo Mungu wa Biblia aumbe binadamu kwa mfano wake? Hebu soma hapa kwenye hiyo

      biblia yako Takatifu inasema hivi. (Mtanifananisha na nani, na kunisawazisha naye, na kunilinganisha naye, ili tuwe sawasawa?) iweje tena huyo Mungu aseme Amemuumba Binadamu kwa mfano wake kisha Mungu huyo huyo wa Biblia

      aseme kuwa hawezi kufananishwa na kitu chochote? Kwanini aya za Biblia zinapingan zenyewe kwa zenyewe? Kwa ufupi kitabu cha Biblia kina makosa zaidi ya Elfu 50 Kitabu cha biblia kina mikono ya watu ndio maana kila Mwaka huko Vatican ITALY kwa Mtakatifu Paulo Biblia inarekebishwa kila

      mwaka kwa sababu Biblia sio neno la Mungu Biblia imeharibika sana mkuu amka usome vizuri Mungu hawezi kumuumba Kiumbe wake binadamu kisha awe mfano wake atakuwa huyo Mungu ni Feki mimi ninamuita mungu anayeweza

      kufananishwa na binadamu ni mungu feki huyo sio mungu wa kweli. Kwa Imani ya Dini ya kiislam Mwenyezi Mungu hawezi kufanana na kiumbe wake yoyote iwe ni binadamu au majini au malaika. Ushahidi huo hapa chini.

      Hebu :Soma sura Ya
      112. AYA 1-4

      KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU

      1. Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee. ***

      2. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa. ***

      3. Hakuzaa wala hakuzaliwa. ***

      4. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja. ***

      Mkuu. JMUshi Huyu ndie Mungu wa ukweli na Sifa zake ni hizo hapo Mungu wa Biblia ni mungu feki anayefanana na Binadamu kwa ushaidi wa aya uliyotowa wewe Mkuu jmushi. Samahani kama nitakukwaza unisamehe sana rafiki yangu.

      Only Do What Your Heart Tells You

      Allah
      Has Not Revealed A Disease without Treatment....
      (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]

    15. #72
      Bumpkin Billionare's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th January 2012
      Location : Msangabunyesa
      Posts : 1,275
      Rep Power : 695
      Likes Received
      552
      Likes Given
      197

      Default Re: Haya wale wasiomjuwa jini (pepo) ndio huyo picha yake anatisha usiangalie please

      Quote By njiwa

      hahaha! umenifanya nicheke kwa sauti ... What a cocky twat.... !! .. ahh! haya amini unavyoamini ushanywesha sumu ... BTW WHO IS
      Ayatollah Khomeini???
      Uki-google Ayatollah Khomeini utampata. Kiongozi wa kiroho wa jumuiya ya waislamu wa Iran.

      Ndio nitaamini navyoamini kwani ndio reasonable way of doing things. Siku zoote mnanadi jinsi Bible ilivyobadilishwa na kusema Quran haijawahi kubadilishwa nukta, sasa naamini ulipo ujumbe umekufikia kuwa sio tu kubadilishwa, hata kutafsiriwa haitafsiriwi yote kuepuka msijue mambo kama haya. Na kwa wale waliojua tayari, KIMYA kwa maslahi binafsi yanayohusiana na hii topic, watu wazima tumeshaelewana uongo?

      When you get more confused than now, mkiri Yesu ya kuwa ni bwana na mwokozi wa maisha yako, nawe utakuwa huru juu ya yote haya. Hata Mr.Jinn ambaye mnamnadi hapa kuwa wakati mwingine anakuwa mwema, atakupigia salute kwa woga
      An Idea isn't responsible for the people who believe in it.
      Donald Robert Marquis (1878 - 1937)
      American Writer

    16. #73
      Bumpkin Billionare's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th January 2012
      Location : Msangabunyesa
      Posts : 1,275
      Rep Power : 695
      Likes Received
      552
      Likes Given
      197

      Default Re: Haya wale wasiomjuwa jini (pepo) ndio huyo picha yake anatisha usiangalie please

      Quote By jmushi1

      Acha uongo mkuu,na mtu akiweka hapa picha akasema ni ya mungu wengine mtakubali?
      Inategemea huyo aliyesema ana uhusiano gani na anayezungumziwa. Kwa mfano, wewe ukipost picha hapa ukatuambia ni ya Baba yako mzazi, mimi nitakubali kwa kuwa wewe unamfahamu baba yako zaidi yangu.

      Kama Yesu angalikuja leo na picha na kusema huyo ni Mungu, ningeamini kwa kutambua uhusiano wa Yesu (kama nafsi) na Yahwe (Mungu). Sikumaanisha mtu yeyote akileta picha ya mtu yeyote, no.

      Aliyetuletea picha ya Jinn, akileta picha nyingine na kusema huyo ni Yesu, nitakuwa wa kwanza kumpuuza. Kwa hili simpuuzi
      MziziMkavu likes this.
      An Idea isn't responsible for the people who believe in it.
      Donald Robert Marquis (1878 - 1937)
      American Writer

    17. #74
      jmushi1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd November 2007
      Posts : 14,375
      Rep Power : 16492
      Likes Received
      4298
      Likes Given
      5491

      Default Re: Haya wale wasiomjuwa jini (pepo) ndio huyo picha yake anatisha usiangalie please

      Quote By MziziMkavu
      Mkuu jmushi wewe unaamini kuwa Biblia ni neno la Mungu? iweje huyo Mungu wa Biblia aumbe binadamu kwa mfano wake? Hebu soma hapa kwenye hiyo

      biblia yako Takatifu inasema hivi. (Mtanifananisha na nani, na kunisawazisha naye, na kunilinganisha naye, ili tuwe sawasawa?) iweje tena huyo Mungu aseme Amemuumba Binadamu kwa mfano wake kisha Mungu huyo huyo wa Biblia

      aseme kuwa hawezi kufananishwa na kitu chochote? Kwanini aya za Biblia zinapingan zenyewe kwa zenyewe? Kwa ufupi kitabu cha Biblia kina makosa zaidi ya Elfu 50 Kitabu cha biblia kina mikono ya watu ndio maana kila Mwaka huko Vatican ITALY kwa Mtakatifu Paulo Biblia inarekebishwa kila

      mwaka kwa sababu Biblia sio neno la Mungu Biblia imeharibika sana mkuu amka usome vizuri Mungu hawezi kumuumba Kiumbe wake binadamu kisha awe mfano wake atakuwa huyo Mungu ni Feki mimi ninamuita mungu anayeweza

      kufananishwa na binadamu ni mungu feki huyo sio mungu wa kweli. Kwa Imani ya Dini ya kiislam Mwenyezi Mungu hawezi kufanana na kiumbe wake yoyote iwe ni binadamu au majini au malaika. Ushahidi huo hapa chini.

      Hebu :Soma sura Ya
      112. AYA 1-4

      KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU

      1. Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee. ***

      2. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa. ***

      3. Hakuzaa wala hakuzaliwa. ***

      4. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja. ***

      Mkuu. JMUshi Huyu ndie Mungu wa ukweli na Sifa zake ni hizo hapo Mungu wa Biblia ni mungu feki anayefanana na Binadamu kwa ushaidi wa aya uliyotowa wewe Mkuu jmushi. Samahani kama nitakukwaza unisamehe sana rafiki yangu.

      Binadamu wote wanalingana?ulitaka Mungu alingane na binadamu wote na wakati binadamu wenyewe hawalingani?mfano wako ni irrelevant.
      "One of the penalties for refusing to participate in politics is that you end up being governed by your inferiors"-Plato

    18. #75
      Bumpkin Billionare's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th January 2012
      Location : Msangabunyesa
      Posts : 1,275
      Rep Power : 695
      Likes Received
      552
      Likes Given
      197

      Default Re: Haya wale wasiomjuwa jini (pepo) ndio huyo picha yake anatisha usiangalie please

      Quote By MziziMkavu
      Mkuu@jmushi Sio Ukweli anayoyasema mkuu . Mawenzi Kwani Bwana Yesu hakuwa anatowa MaPepo Wachafu? Mkuu jmushi unasoma kweli biblia? Hebu soma Biblia hii hapa

      Mathayo 27.43Na pepo wachafu, kila walipomwona, walianguka mbele yake, wakalia wakisema, Wewe ndiwe Mwana wa Mungu. Akawakataza sana, wasimdhihirishe.

      Mathayo, Chapter 9: 9:34 Lakini Mafarisayo wakawa wanasema, "Anawatoa pepo kwa nguvu ya mkuu wa pepo wabaya."

      Mathayo, Chapter 10: 10:8 Ponyeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo. Mmepewa bure, toeni bure.

      Mathayo, Chapter 12:

      12:22 Hapo watu wakamletea Yesu kipofu mmoja ambaye alikuwa bubu kwa sababu alikuwa amepagawa na pepo. Yesu akamponya hata, akaweza kusemana kuona.

      12:24 Lakini Mafarisayo waliposikia hayo, wakasema, "Mtu huyu anawafukuza pepo kwa uwezo wa Beelzebuli, mkuu wa pepo."

      12:26 Ikiwa Shetani anamfukuza Shetani, anajipinga mwenyewe. Basi, ufalme wake utasimamaje?
      12:27 Ninyi mnasema ati nawafukuza pepo kwa uwezo wa Beelzebuli; je, watoto wenu huwafukuza kwa uwezo wa nani? Kwa sababu hiyo wao ndiowatakaowahukumu ninyi.

      12:28 Lakini ikiwa ninawafukuza pepo kwa nguvu ya Roho wa Mungu, basi jueni kwamba Ufalme wa Mungu umekwisha fika kwenu.

      Mkuu zipo aya nyingi zinazosema kuwa Bwana YESU alikuwa anawafukuza Pepo Wabaya sasa na huyo YESU naye tumuiteje? YESU Muislam anayewafukuza Ma Pepo Wachafu? Usiunge mkono pasipo na ushahidi soma kwanza ndio uunge mkono.. jmushi1
      Nashukuru umetambua ya kuwa Yesu ni BWANA. Na sio wewe tu, hata pepo (japo kwa uwoga) walimtambua Yesu ya kuwa yu mwana wa Mungu.

      Lakini Mathayo 27:43 inasema "Amemtegemea Mungu, na amwokoe sasa, kama anamtaka, kwa maana alisema, Mimi ni Mwana wa Mungu"

      Na pia Mathayo 9:34 Hayo ni mamneno ya Mafarisayo ambao lengo lao ni kupotosha kile kilichotokea. Soma Mathayo 9:32-33 "32Hata walipokuwa wanatoka, tazama, walimleta mtu bubu mwenye pepo. 33 Na pepo alipotolewa, yule bubu alinena, makutano wakastaajabu, wakasema, haijaonekana hivi katika Israeli wakati wowote"
      Kwa hiyo utaona kuwa Yesu alitoa pepo, lkn wafarisayo wakakebehi kwa maslahi kama haya yako.

      Mimi sijakuelewa unataka kueleza nini kwa hii mistari uliyojaza hapa. Ikiwa umeshasoma na kuamini kuwa Yesu aliwatoa mapepo, basi umeshajua kuwa Yesu si mpunga mapepo. Ameyatoa kwa kuwa hawatoki katika ufalme mmoja. Angekuwa na imani ya mapepo asingewatoa kwani angekuwa anaufitini ufalme wake mwenyewe. Na ndio alijibu maneno ya wafarisayo kuwa anatoa pepo kwa nguvu za pepo.

      Unauliza tena Yesu mumuiteje, hakuna jina lingine zaidi ya ulilokwisha sema awali BWANA.
      An Idea isn't responsible for the people who believe in it.
      Donald Robert Marquis (1878 - 1937)
      American Writer

    19. #76
      MziziMkavu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2009
      Location : European Union
      Posts : 22,113
      Rep Power : 19194
      Likes Received
      8047
      Likes Given
      26489

      Default Re: Haya wale wasiomjuwa jini (pepo) ndio huyo picha yake anatisha usiangalie please

      Quote By jmushi1
      Binadamu wote wanalingana?ulitaka Mungu alingane na binadamu wote na wakati binadamu wenyewe hawalingani?mfano wako ni irrelevant.
      Ikiwa binadamu wanalingana iweje tena huyo Binadamu alingane na Mungu ambaye huwezi kumfananisha na Viumbe wake? Nakutolea mfano binadamu ametengeneza ndege

      ya kuruka na kuipanda iweje tena huyo binadamu aliye tengeneza ndege ya kupanda na kuruka afanane nayo? Sasa Mungu ndie aliye muumba Binadamu iweje tena huyo huyo mungu muumba Binadamu afanane naye? Basi atakuwa

      huyo mungu ni Feki sio mungu wa ukweli huyo. MkuuMwenyeezi Mungu amekupa akili itumie sio kufuata tu kutokana na imani uliza Swali unapokwenda Kanisani ili ujibiwe sio tu kuamini pasipo kuuliza Swali wewe mimi nije kusema kitu basi

      wewe kwa mapenzi yako juu yangu unaamini tu pasipo na kutaka kujuwa undani wake? mkuu tumia akili aliyokupa Mwenyeezi Mungu usifuate tu kwa mkumbo eti kwa sababu fulani tajiri na mimi nimfuate kwa huo utajiri wake nini ndio

      unamfuata? Bwana YESU ametufundisha kitu kimoja amesema hivi (Kila pando asilolipanda baba wake wa mbinguni litang'olewa Waacheni hao viongozi vipofu na kiongozi kipofu akimuongoza kipofu mwenzie wote hao 2 watatumbukia shimoni) Nini maana yake hayo maneno aliyoyasema Bwana wetu Yesu kristo? Kila imani iliyokuja kufundishwa kuwa

      yeye Bwana Yesu ni mtoto wa Mungu ,Yeye Bwana YESU kristo ni Mungu ,Yeye Bwana yesu kristo ni muokozi wetu imani hiyo itang'olewa atakapokuja yeye Bwana Yesu na itaonekanakuwa ni imani potofu. Kwa sababu Bwana YESUhakufundisha hiyo imani. Waachieni hao viongozi Vipofu yaani Viongozi Vipofu ni

      (Wachungaji) (Ma Padri) Ma Askofu) Viongozi Vipofu wanawafundisha upofu Waumini wao Makanisani, na Kiongozi kipofu akimuongoza kipofu mwenziwe Watatumbikia wote Shimoni mwa Moto wa jahanamu kwa hiyo ninakuusia Mkuu Rafiki yangu unapokwenda Kanisani

      jaribu kumuuliza Maswali Mchungaji au Padri au Askofu Maswali ya Dini sio tu kuamini kutokana na kusikia na maneno pasipo na ushahidi wowote ule asante mkuu.. jmushi1
      Only Do What Your Heart Tells You

      Allah
      Has Not Revealed A Disease without Treatment....
      (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]

    20. #77
      Bosi Michembe's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 24th June 2011
      Location : Sengerema
      Posts : 213
      Rep Power : 442
      Likes Received
      52
      Likes Given
      33

      Default Re: Haya wale wasiomjuwa jini (pepo) ndio huyo picha yake anatisha usiangalie please

      Quote By MziziMkavu
      “The truth of the matter is that the father of the jinn is other than Satan, although Satan does belong to the species of the jinn. The father of the jinn is a hermaphrodite [khuntha]…There is no benefit in spending time with them, and their company is positively harmful. Since they are created of fire and air, their principal attributes are pride and rebelliousness. Those who frequent them are thereby infected with arrogance and conceit…Warfare amongst them is not rare, since their essential attributes are boastfulness, asserting superiority over one another, arrogance and overbearing tyranny…On the Day of resurrection, those of them who deserve punishment are thrown in to the cold hell, since they are not affected by fire.”

      Hii inathibitisha mwanadamu hana ujanja wa kufikiri na kubuni kitu nje ya mazingira yake.. Nothing new hapo ana mikono, vidole, nywele , kwato na pembe ambazo wamekopa kwa mbuzi au ng'ombe, meno yanaweza kuwa ya mbwa mwitu au simba.. The same kwa hao wapambe pembeni come on mpaka wamevaa suruali.. Hainingii akilini hata kidogo..

    21. #78
      MziziMkavu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2009
      Location : European Union
      Posts : 22,113
      Rep Power : 19194
      Likes Received
      8047
      Likes Given
      26489

      Default Re: Haya wale wasiomjuwa jini (pepo) ndio huyo picha yake anatisha usiangalie please

      Quote By Bosi Michembe

      Kama haikuingii akili sawa amini usiamini huo ndio mfano wa Mapepo aliowaumba Mungu hatuwezi kuwaona lakini wao wanatuona ukiamini au usiamini nakuacha kama ulivyo mkuu kazi kwako... Bosi Michembe
      Only Do What Your Heart Tells You

      Allah
      Has Not Revealed A Disease without Treatment....
      (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]

    22. #79
      jmushi1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd November 2007
      Posts : 14,375
      Rep Power : 16492
      Likes Received
      4298
      Likes Given
      5491

      Default Re: Haya wale wasiomjuwa jini (pepo) ndio huyo picha yake anatisha usiangalie please

      Quote By MziziMkavu
      Ikiwa binadamu wanalingana iweje tena huyo Binadamu alingane na Mungu ambaye huwezi kumfananisha na Viumbe wake? Nakutolea mfano binadamu ametengeneza ndege

      ya kuruka na kuipanda iweje tena huyo binadamu aliye tengeneza ndege ya kupanda na kuruka afanane nayo? Sasa Mungu ndie aliye muumba Binadamu iweje tena huyo huyo mungu muumba Binadamu afanane naye? Basi atakuwa

      huyo mungu ni Feki sio mungu wa ukweli huyo. MkuuMwenyeezi Mungu amekupa akili itumie sio kufuata tu kutokana na imani uliza Swali unapokwenda Kanisani ili ujibiwe sio tu kuamini pasipo kuuliza Swali wewe mimi nije kusema kitu basi

      wewe kwa mapenzi yako juu yangu unaamini tu pasipo na kutaka kujuwa undani wake? mkuu tumia akili aliyokupa Mwenyeezi Mungu usifuate tu kwa mkumbo eti kwa sababu fulani tajiri na mimi nimfuate kwa huo utajiri wake nini ndio

      unamfuata? Bwana YESU ametufundisha kitu kimoja amesema hivi (Kila pando asilolipanda baba wake wa mbinguni litang'olewa Waacheni hao viongozi vipofu na kiongozi kipofu akimuongoza kipofu mwenzie wote hao 2 watatumbukia shimoni) Nini maana yake hayo maneno aliyoyasema Bwana wetu Yesu kristo? Kila imani iliyokuja kufundishwa kuwa

      yeye Bwana Yesu ni mtoto wa Mungu ,Yeye Bwana YESU kristo ni Mungu ,Yeye Bwana yesu kristo ni muokozi wetu imani hiyo itang'olewa atakapokuja yeye Bwana Yesu na itaonekanakuwa ni imani potofu. Kwa sababu Bwana YESUhakufundisha hiyo imani. Waachieni hao viongozi Vipofu yaani Viongozi Vipofu ni

      (Wachungaji) (Ma Padri) Ma Askofu) Viongozi Vipofu wanawafundisha upofu Waumini wao Makanisani, na Kiongozi kipofu akimuongoza kipofu mwenziwe Watatumbikia wote Shimoni mwa Moto wa jahanamu kwa hiyo ninakuusia Mkuu Rafiki yangu unapokwenda Kanisani

      jaribu kumuuliza Maswali Mchungaji au Padri au Askofu Maswali ya Dini sio tu kuamini kutokana na kusikia na maneno pasipo na ushahidi wowote ule asante mkuu.. jmushi1
      Mkuu nadhani hukunipata vyema,nilikuuliza kama binadamu wote wanalingana.Sikusema kwamba wanalingana.Wewe ulikuja na verse za kwenye bible kuwa Mungu halinganishwi na binadamu,sasa hata sijui kama "kulingana" ni sawa na "kufanana".Kuhusiana na tafsiri za biblia,hayo siwezi kuingia kwenye malumbano kwasababu nafahamu hatutaelewana,la kushangaza bible ni moja lakini madhehebu kibao kutokana na utafsiri nk.So huwa sihitaji lecture kwenye hizo issue.
      "One of the penalties for refusing to participate in politics is that you end up being governed by your inferiors"-Plato

    23. #80
      MziziMkavu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2009
      Location : European Union
      Posts : 22,113
      Rep Power : 19194
      Likes Received
      8047
      Likes Given
      26489

      Default Re: Haya wale wasiomjuwa jini (pepo) ndio huyo picha yake anatisha usiangalie please

      Quote By jmushi1
      Mkuu nadhani hukunipata vyema,nilikuuliza kama binadamu wote wanalingana.Sikusema kwamba wanalingana.Wewe ulikuja na verse za kwenye bible kuwa Mungu halinganishwi na binadamu,sasa hata sijui kama "kulingana" ni sawa na "kufanana".Kuhusiana na tafsiri za biblia,hayo siwezi kuingia kwenye malumbano kwasababu nafahamu hatutaelewana,la kushangaza bible ni moja lakini madhehebu kibao kutokana na utafsiri nk.So huwa sihitaji lecture kwenye hizo issue.
      Mkuu kulingana na kufanana kuna tofauti gani? nakuacha mkuu... jmushi1
      Only Do What Your Heart Tells You

      Allah
      Has Not Revealed A Disease without Treatment....
      (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]

    24. Miaka 50
    Page 4 of 7 FirstFirst ... 23456 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...