Tena huyo wa kwanza kushoto kavaa rangi ya Barcelona!
Tena huyo wa kwanza kushoto kavaa rangi ya Barcelona!
nimecheka sana!!!!!!!!!
ONLY THE DEAD HAVE SEEN THE END OF WAR - PLATO
Yaani ngo'mbe kama hizi hazitakiwi mjini kabisa.Tutaendelea kuu gua saa kwa kuendkeza ujinga huu!
Ngo'ng'o
maisha bora kwa kila mtz
ASIYEUMBA HAUMBUI
Yaani nimcheka mno!
Hell no!! Tell me this is not true!!! Unaweza ukatueleza hii kitu inatokea wapi?
Prepared for the worst....... Hope for the best....
Jamani hapa ni wapi?
Baada ya kumaliza shughuli inaonekana watavaa hivyo hivyo bila ya kujisafisha.Chezea usela mavi wewe
Kwi kwi kwi teh teh teh. Natures call.
System At Work
"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
Mateja hao! Wacha chezea cocaine wewe!
Wananukishiana yaani hadi hilo lingine limeziba pua aisee, kweli TZ tumethubutu, tumeweza na sasa tunasonga mbele!
Hahaaa wapi hapo?
Haya ndo maisha bora kwa kila Mbongo. Penye umaskini wa kupindukia kote duniani hakuna ustaarabu, Ustaarabu pale palipo na matumaini na si walipo kata tamaa kama Hao vijana may be hata mia 200 za kulipia choo hawana,
Khaaah h sio tz jaman duu lakn c wanalenga mtalo au?
Hahahaha!! kwere, ni wapi aisee..
Hii ni laana ya kuishabikia ccm
A diplomat is a man who always remembers a woman's birthday but never remembers her age.
La Dolce Vita
Mi mtazamo wangu ni kwamba vijana hawa hawajaandaliwa mazingira ya ustaarabu kwa hiyo hawawezi kuwa wastaarabu kamwe. Mojawapo ya huduma za jamii ambazo serikali yetu imezipuuzia ni pamoja na maliwato, ambayo mi nilipokuwa naanza kupata akili miaka ya 80 mwanzoni kulikuwa na vyoo vya serikali karibia kila mahali ambavyo watu walivitumia bila malipo na vilikuwa na huduma zote za msingi km maji na sabuni. Leo hii, vile vyoo vyote vya serikali vimebinafsishwa, na wawekezaji hao wameachiwa uhuru wa kutoza kiwango cha pesa watakazo, cjawahi kusikia EWURA wakidhibiti bei ya kujisaidia kwny maliwato ya umma! Tutafakari!
REALITY IS THE ONLY SOLUTION TO ALL THE PUZZLES!
Follow Us Here