Tena huyo wa kwanza kushoto kavaa rangi ya Barcelona!
Tena huyo wa kwanza kushoto kavaa rangi ya Barcelona!
Sijui ni kizazi gani tutakachokuwa nacho baadaye..maana watoto wadogo siku hizi ustaarabu hakuna!!
Wapumbavu kweri hawa
yaniiiii.
"It is better to be hated for what you are then to be loved for what you are not."
mimi binafsi najiuliza huyo aliyepiga picha alikuwa wapi asiwakataze? au alikuwa anaona raha kuchungulia mavi ya wenzao?
Hawa wamekosa malezi sahihi tu, wala tusisingizie jua kama mbaazi. Hawa ni kamata tandika chapa viboko wasirudie shenzi!! wanaeneza maradhi kiujinga!! hawawezi kwenda kwao kujisaidia au kuomba msaada jirani washushe mizigo yao????
Pambafuu sikubaliani na hii tabia asilani!!!
Information is not knowledge
Albert Einstein
Hii picha nadhani imepigwa nchi ya jirani. Siamini kama hapo ni TZ! Kweli hali ya maisha imezidi kuwa mbaya, lakini sio kwa kiwango hicho.
“NOTHING IS SO EFFICACIOUS IN PRESESRVING A MAN FROM SIN, AS CONSTANT MEDITATION ON DEATH.”
Kwenye mtaro huo, mvua ikinyesha,kwa mbele watu wanakinga maji, watoto wanapita peku kuokota vyuma chakavu,hata kiangazi,watu wazima wanaokota makopo ya maji!mengine wanauzia juice! La ! La! La!
Dah, kazi ipo, sasa hawa wakipewa hela ya bange wasiichague ccm ili iweje! Ni msiba mkubwa huu
HAKI HAITOLEWI KWA MATAMANIO YA MTU; WAPE WATU HAKI ZAO HATA KAMA HAWAZIJUI-Mipangomingi
sooo bad wallah
sasa mjini vyo vya kulipia kama huna miambili ufanyeje na umeshikwa na haja? vyoo vya umma vya bure mijini ni muhimu sana kuliko kulaumu watu wanaolazimishwa na mazingira kuonekena wendawazimu.
natamani ningekuwa karibu niwapopoe kwa mawe ya mugongo...wajinga sana hawa.
Kama huna meno,usile bisi, kula Bwimbwi yaani kimbugi. Uongozi ukikushinda waachie wanaoweza!
Madhara ya Bangi ni mengi jamani!
JF everywhere!!!!!!!
ukipenda asali usiogope ukali wa nyuki
dus, halafu ni mchana kweupe! aibu!
huyo aliyevaa nyeupe naona harufu imemzidia kaziba pua kabisa! hivi haya mambo ni kweli, dunia hii hii au? mmmhhh, we have a very looong way to go.
"the problem is not me! the problem is you understading me!"
Hii kule 'India ONLY' ni jambo la kawaida sana.Uzuri kuna mida maji yanapitishwa kuondoa DIVIZ kwa mitaro
Nimeamini,this is foolish mind perfoming foolishness...
Kweli watu wamejawa mambo...
Follow Us Here