Wanajamvi, ndiyo Uniform zenyewe hizi, ndiyo hapo utakaposhindwa kushangaa na kuanza kujiuliza hivi ni lini tutaamua kuacha kujiaibisha wenyewe kwa mambo yaliyo wazi kama hili.
Wanajamvi, ndiyo Uniform zenyewe hizi, ndiyo hapo utakaposhindwa kushangaa na kuanza kujiuliza hivi ni lini tutaamua kuacha kujiaibisha wenyewe kwa mambo yaliyo wazi kama hili.
"The usual conclusion is that you can't put a price on a human life. But you can if you must".
Nimejikuta nacheka badala ya kusikitika. Hivi hao wabunifu wa hizo uniform zinazogharimu mamilioni yote hayo hawajawahi hata kupanda ndege moja wakajifunza cabin crew wa wenzao wana uniform za namna gani? Duh, wauza bar wa Rombo green view wana uniform bomba sana kuliko hizi, na zimewaghalimu less than milioni mbili kuzishona. Hapa kwa kweli wanaomtetea Chizi na wenyewe ni machizi tu. Huyu akamatwe afungwe kabisa pumbafu zake.
Mtaji mkubwa kabisa wa CCM katika chaguzi zake ni umaskini na ujinga wa watanzania. CCM haitafanya kosa la kuyamaliza matatizo hayo kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wamehatarisha nafasi yao ya kuendelea kutawala
Ma Local designers wetu wangeshindwa kufanya kazi nzuri zaidi ya hiyo? kwanini tusingewapa kazi hiyo na kuwataka wabuni African Dress ambayo ingevutia zaidi kuliko hii utafikiria housekeepers wa hotelini?
"Be the Window through which many young will see their future"
............Attitude towards Change.................
Uchungu hakuna nia ni kujitajirisha tu na huko jehanamu mtakiona cha moto,yaani mnauwa mashirika ya umma kwa ubinafsi wenu?hivi mnajua ni watu wangapi leo hii hawana ajira kutokana na hilo wanazurura mitaani wakati majumbani kwenu kila mtu ana gari lake!you will pay for this,2015 siyo mbali sana,angalieni yanoyotokea kule Misri yaani watu walivyo na hasira hata adhabu ya kifungo cha maisha inaonekana ni ndogo.
'' The socialism I believe in is everyone working for each other, everyone having a share of the rewards. It's the way I see football, the way I see life.'' By Bill Shankly
Hata Mustafa Hasanal tunaye hapa,wako kina Gulam Patel mtaalam wa suti,wako Italian Shoes wanao shona uniform za aina zote,na hakika hata milion 5 zisingeisha kwa uniform 17,shirika lenyewe lina madeni kibao bado unaenda kushona ngo kwa milion 70,
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Mpaka sasa hivi muheshimiwa JK bado hujajua ni kwanini Watanzania ni masikini??????
'' Mtu ni Utu sio Kitu''
Follow Us Here