Mayai ya kuchoma, Naija
Mayai ya kuchoma, Naija
teh teh...hii kali,sijui yatakuwa na ladha gani...?
Nini tabu,Mbona tunakula sana sio mpya njoo Kinyerezi
Yamenikumbusha mbali sana nilipokuwa mdogo nachunga ng!ombe. Ilikuwa kawaida sana kuchoma mayai. Ni wapi hapa nipatembelee siku moja, Nimesikia raha sana
Wanayachemsha kwanza, Hapo yanawekwa kwenye moto ili yasipoe.
tumeyala sana enzi zile tunakaa vijijini, kuku kibao, kuyakaanga utashikwa, kuyachemsha noma, solution ilikuwa kuyaweka kwenye majivu yenye moto mkali, dakika mbili nyingi unasikia pufu, fasta unatoa unaanza kutengeneza afya.
UTUMISHI WA HAKI, NI SULUHISHO LA MAOVU YOTE
Na hicho kifurushi cha migomba ni nini
Blessed are hearts that bend but shall never broken
hii safi nimeipenda sanaaa
hii mpya jamani
Mbuzi mzee, siku zote siwezi kuona picha zako!!
Follow Us Here