Hii picha nmetumiwa na rafk wa dada yngu,ambye alipita sehemu hii kukuta kuna soko la mama ntilie na hki choo,ambavyo vimepewa jina la "SOKO LA KIKWETE" na pia hcho choo wanakiita hv CHOO "CHA KIKWETE"hapo hapo kwa pembeni kuna jalala kubwa na kumezungukwa na makazi,na nyumba ya starehe.Kwa thatha kan2mia pcha ya choo ila atan2mia na picha za jalala.

Reply With Quote

Follow Us Here