Kina mama wakigalagala chini baada ya kuingiwa na maneno ya Nape songea
Kina mama wakigalagala chini baada ya kuingiwa na maneno ya Nape songea
JF the best place to be. and the POWER of God be with us all the time.
siasa za aina gani hizi aisee..sasa hapo wamefurahia nini? twiga kubebwa ama atcl kufa ama trc kufa ama ...dah sipati picha hadi negative zote sipati ..nape tuambie uliwadanganya nini hapo
JF the best place to be. and the POWER of God be with us all the time.
Hao akina mama wamepandwa mapepo ya kimagamba, wanahitaji ukombozi wa kweli. Halafu mkutano unaonekana "ulikuwa na umati mkubwa sana wa watu"!!!!
TANZANIA ITAJENGWA NA WENYE MOYO NA KULIWA NA WENYE MENO KAMA AKINA EL, JK, EC na RA
Nape ulikumbuka kuwapa kanga za ccm ukasahau kuwapa hata kandambili ..ama ccm hamjaanza kutengeneza kandambili bado
Last edited by Saint Ivuga; 4th June 2012 at 12:47.
JF the best place to be. and the POWER of God be with us all the time.
wee nape mbona unatafuta laana?
kwa nini unachungulia mama zako?au ni mkutano wa injili?
kusema ni fedha na kusikilizwa ni zahabu.
Naona wamezoea kucheza ngoma ya mganga kwa hiyo hapo labda wanajikumbushia hivi, halafu naona kama sura zao za kizeezee hivi,
Muwasamehe wapo kwenye maigizo hao.
Watoto mtaachiwa radhi na mama zenu, nyie wafateni hao magwanda yasiyo na mpango. Mnaona kina mama zenu wanavyoishangilia CCM, sasa nyinyi jifanyeni mna akili kuliko wao.
System At Work
"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
Hakuna hata kijana hapo na hao ndiyo watanzania wachache ambao wanaamini Nyerere yungali anaishi....alafu hapa si Songea mjini kakusanya wana vijiji tu pale mjini hawaambiwi kitu kuhusu GWANDA.
'' The socialism I believe in is everyone working for each other, everyone having a share of the rewards. It's the way I see football, the way I see life.'' By Bill Shankly
Hao kina mama mbona ni vya pombe kabisa?
Soki Ozali Mwasi Yaka, Soki Ozali Mobali Koya Te
walipewa elfu kumi kumi wakaambiwa walie ,sijawahi kuona ilani yakisiasa ikiwabaraguza watu haaaa PEPO LA GAMBA LILIWAINGIA HAWA HAMNA HATA WATU MKUTANONI WANAHUTUBIA MAPAMBO YAO HAHAHH
Kosea njia utaelekezwa,lakini usikosee mtu wakuoa /kuolewa naye,vinginevyo majuto yatakuwa sehemu ya maisha yako.tuliza kichwa unapochagua mwenzi wa maisha.
Wafanye kuwa masikini wa kutupwa....kisha uwatawale kirahisi!
"The only thing that walks back from the tomb with the mourners and refuses to be buried is the character of a man.
What a man is, survives him... it can never be buried"
(GENEKAI-Jamiiforums, 4th November 2010 07:32PM).
[email protected]
Lakini kwa wastani ukiangalia wote waliolala chini ni above 75years of age. Nape anatakiwa kushtuka maana mshale wa saa unasogea tu.. Hizo ni siasa za kijima wamama wazima wanalala chini kwa sababu ya vuvuzela..
Nape is a disgrace to the society
Du kwa comments hizi kweli watu wamechoka na CCM hamna hata mmoja aliyesifia Tungoje 2015
muone anavyochungulia ? kijanaaa
JF the best place to be. and the POWER of God be with us all the time.
Follow Us Here