Ata madawati yanapangwa kwa mstari ulionyooka, na apo kuibia sio rahishi. Kudaaaaaadadeki mchina!
Ata madawati yanapangwa kwa mstari ulionyooka, na apo kuibia sio rahishi. Kudaaaaaadadeki mchina!
khaa hadi kule nyuma kote mbalii ni wanafunzi kweli china ni soo
Mhhh kuibia hapo Ni issue aise
When you are in Love you can't fall asleep because reality is better than your dreams
kungekuwepo wabongo aaa 2ngeibiaaa 2 tena una2mia kvul c n noumaaaaaa
Hapo kama hujui hujui hujui tu hakuna msaada
kwa pamoja ni lazima twende mbali zaidi ya maneno yetu...........039.mac
Harafu kwa taarifa yenu huo ni mtihani wa karate tena ni theory.
Ningefurahi sana kufanya mtihani katika mazingira kama hayo. Hakuna cha kuazima ufutio wala rula kutoka kwa jirani. Kila mtu kwa msuli wake.
“Anyone who has never made a mistake has never tried anything new” -
Albert Einstein
shule zetu nadhani dawati moja ni kati ya watu wa 2-3-4 hata uyapange wapi kazi ni ile ile,ni kupigana chabo tu.
Kuwa mchina mbona kimeo?
KAZI NDIO MSINGI WA MAENDELEO. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUENDELEA KWA MSINGI WA FEDHA. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUJITAWALA KAMA INATEGEMEA MSAADA KUTOKA NCHI ZA NJE- J. K. NYERERE
NECTA wajifunze namna hii ya ufanyaji mitihani
Hapo mvua ikinyesha inakuwaje? au wachina ni wataalamu wa kuzuia mvua?
"Makalio ya sufuria hayaogopi moto"
wewe cheza na ngulu mbili eeenh! Kuna jamaa yangu alikuwa ananielezea jinsi wanavyopata majibu, hapo ni nje si kuna road zimekatiza hapo basi wajanja wanapita ambao wamelinyaka hilo paper earlier wakiwa juu ya JINYEE(pikipiki ya mchina) au gari wakiwa na kipaza sauti wanatangaza swali la kwanza jibu ni watatoa jibu halafu bodaboda fasta inatokomea uswazi, baada ya muda wanakuja wenginehivyo hivyo mpaka time ya paper inaisha
najiandika mapajani afu navaa kimini,najiandika mikononi af navaa blauzi ndefu naigia na nondo aka chambo iko full,ruler,ufutio vyote naviandika sijafaulu tu jamani?af hapo uwezekano wa kusaindiana hauko ila kujisaidia mwenyewe upo.
ASIYEUMBA HAUMBUI
Mpiga chabo ataombea vua kubwa la ghafla lishuke pepa litibuke, karatasi ziwe tepetepe!
Haina maana yeyote kama paper tayari ilisha "leak" wiki mbili zilizopita
Hapo ukiwa na kibomu/desa unatumia vizuuuuuuuuuuri.
Gao kao hiyo!! Ni mtihani wa kuingia chuo... watakao pasi wanaenda jeshi miezi kadhaa.. then wanakwenda vyuo walivyopangiwa kutokana na ufaulu wao plus wachina ni government ndio inawachagulia wasome nini!? Hakuna demokrasia ya kujichagulia mi napenda law ntasoma law.. nina rafiki yangu Dr mchina alinambia china mishahara ya wafanyakazi wa serikali wote sawa... anacholipwa mfanyakazi was bank of China ni same na yeye dactari... unless afanye overnight ndio ataongezewa kidogo
Follow Us Here