Jamii inalichukuliaje? Acha Picha Ziongee
Jamii inalichukuliaje? Acha Picha Ziongee
Kazi kweli kweli
Duh! no coments!
Mbona huo sio mlegezo bali ni mvuko kabisa
"Life comes once only: No retake/replay/rewind/once-more. One should enjoy it, be happy & keep happy others too."
Ni vyote viwili uhuni na ni fashion pia............
IMMITATIONS are LIMITATIONS
aaaaha ama kweli ukistaajab ya kike utakutana na ya kiume ngoja twende tuone tutakapo komea
kwa pamoja ni lazima twende mbali zaidi ya maneno yetu...........039.mac
Afanalek!!! Kinachofuata ni kuweka suruali begani!!!
Ni ulimbukeni!
Life without problems never make a strong and good person!
Either way, IT doesn't make sense! Ni ulimbukeni na uhuni both ways!!
Never Get Angry; Never Make Threat; Reason With People;
"Napenda the logic of the words because in some ways it says about individual-not to use emotions-when scrutinizing something, whether it involves you or not" ...-by AshaDiii @ Jamiiforums 26th July 2011.
Pandisha mlege...........aaaah
ASIYEUMBA HAUMBUI
Ni ushamba huo!
wanairudia asili yetu mkuu..si unajua manyani hayavai nguo mpaka kesho
...........Uwanja wa siasa katika nchi karibu zote za Kiafrika, ni uwanja uliotekwa na majambazi ambao wanafanya wanachotaka, vile wanavyotaka..........Jenerali Ulimwengu, Raia Mwema Namba 278.
Mhhhh........
Nguruwe pita leo sina Mkuki(By Malila wa JF).
Okay sasa nalidhika kwani umeangalia upande mwingine
I am not the same person today as I was 10, 20, or 30 years ago, for I have welcomed life's changes on my heart, face, and mind.
Ni uchafu na kukosa ustaarabu na maadili
mabwabwa haya...
______________________________ _
Niko tayari kufa huku nimesimama kuliko kuishi huku nimepiga magoti....
laanakum! @.com, hiki kizazi hiki!!!? mmhhh!
Mbona inajulikana wanaume wanaovaa hivi ni mashoga. Hili lilianzia America katika magereza yao. Hivyo hao wenzenu wapo kazini wanatangaza biashara.
Follow Us Here