Naomba kuuliza hivi hii picha ni kweli au ni ya duka? Nimejaribu kuichunguza naona haieleweki.
Hebu na ninyi iseeni hii picha.
Naomba kuuliza hivi hii picha ni kweli au ni ya duka? Nimejaribu kuichunguza naona haieleweki.
Hebu na ninyi iseeni hii picha.
Hakika biashara kichaa zipo nyingi sana, lakini biashara kichaa kubwa kuliko zote ni kupenda usipopendwa, haijalishi hata kama ni mkeo!!!!!
Amma kweli Tanzania ina idadi kubwa ya watoto kuliko watu wazima.
System At Work
"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
Tabu kweli kwel,kuidadavua picha hii.
ALWAYS A GOOD LIAR SHOULD HAVE A GOOD MEMORY.
Photoshop, asingekuwa na balance ya kusimama na kutembea unless makanyagio yake yako kama T iliogeunzwa juu chini.
hahahaaaa hii inafaa kwa wale baadhi ya wanaume wenzetu ambao ni Walafi, haya sasa huyo yuko kote kote, utajua mwenyewe tamaa zako zote za mwili zitaishia hapo
...but what MAN is entirely without Evil intent in the Silence of his Soul???
Ni picha halisi, ila huyo dada ana minyama zembe,inaonekena alikuwa mnene mno, kabla ya hiyo picha. hapo amepungua na hiyo ndo hali aliyobaki nayo.
.
Mkuu Losambo mbona mambo ya kawaida kabisa hayo! ... wala siyo photoshop! ... wenyewe wanaita ni back boobs!
Angalia wengine hapa chini.
.
Dduhsi itnuhn kose kiri itda ---> 뜻이 있는 곳에 길이 있다
Dotworld umemaliza ubishi na wasiwasi wetu! Big up!
IF NOT US, WHO? IF NOT NOW, WHEN?
Mkuu Losambo heading yako inanipa tabu kidogo. Kama haipo duniani wewe umeitoa wapi? Hata kama ni photoshop si ipo duniani?!
Ukizaliwa na kukulia maeneo watu wanakoshindia kipande cha muhogo na maji makavu huwezi kuwa na mminyama zembe namna hiyo.
Follow Us Here