Re: Mfumo wetu wa Elimu

By
Ngangasyonga
Kweli shule za binafsi zifutwe, zinaongeza ubaguzi katika jamii, sanasana zinazalisha maDJ na ma MC kibao mtaani.
niliwahi kusikia mtu mwingine akisema wale aina ya vijana wa 'promotions' ni products za hizo shule pia! Lakini hii picha ina-portray kuwa kuna tofauti kubwa kutoka kwa mfano IST, Diamond Primary ....mpaka hapa Shule ya Msingi Bumbiire lakini tunapewa mtihani mmoja wa kitaifa!
...yaani nyoka, tembo, nyati, samaki, ngedere nk wanapewa mtihani wa kupanda mti, anayeshindwa eti AMEFELI mtihani!
“those who are so ready to take what is not theirs must be ready to loose what is theirs”
Follow Us Here