"Duh! Awamu mbili? Wooooow! Either these people are really gullible or I'm just that good looking"
Naigopa CDM 2015 ntawakabidhe nchi
kwa pamoja ni lazima twende mbali zaidi ya maneno yetu...........039.mac
mmm watu wengine bana kuwatafutia tu wenzao sababu..
Shenzi sana! Mie nilimwambia dola bilioni mbili kwa mwezi naifanya hii nchi kama mbingu, yeye kaandika dola bilioni moja.
“Wanaotaka kuhashua wanatoa rushwa. Wanaotaka kuhashukwa nao wanataka rushwa. Hahashukwi mtu bila rushwa, na mtu hahashui bila rushwa na hapo ndipo tatizo lilipo.” - Mie mwenyewe.
Hivi nitaweza kweli kunyoosha alama ya Freemason au nizugie kama peoples power nini?
CHADEMA ni ya watu wawili MTEI na Ndesambulo.
CHADEMA NI FREEMASON.
WAMEANZISHA MTANDAO WA KIGAIDI.
Leo nikipata mademu wawili nitafurahi saaanaa
Kuna mawaili yatakayojiri 2015,either nikabidhi madaraka kwa CDM or damu imwagike!na sitokubali damu imwagike..................
da!CDM bwana sasa vidore hivi viwili vinaamana gani?alafu wa Tz wanaipendaaaaaaaaaaaaa hi signal.
CDM wataniacha kweli 2015!!!
"Tanzania ni ya watanzania, na watanzania wenyewe ndo sisi"
dah... na wizi wote ule amenimegea asilimia mbili??
.....Ana sifa zote, nzuri na mbaya!!!
Nchi hii bwana yaani kila kona ukipita watu wanafanya hii ishara ngoja nami nijaribu kumbe kuna raha yake kunyanyua vidole viwili
for further assistance please press "CTRL + W"
Hii alama inaninyima sana usingizi na sijui kwanini hata wanaonipa ahadi za kunisaidia huku ughaibuni wanaipenda hii alama,ngoja nifanye mazoezi ili wahisani wakiona nipate pa kuanzia kuomba misaada.
You can never have someone praise you,nor will anyone condemn you,never in the past,not at present and never will be in the future.
Hii alama inaninyima sana usingizi na sijui kwanini hata wanaonipa ahadi za kunisaidia huku ughaibuni wanaipenda hii alama,ngoja nifanye mazoezi ili wahisani wakiona nipate pa kuanzia kuomba misaada.
You can never have someone praise you,nor will anyone condemn you,never in the past,not at present and never will be in the future.
........bado miaka hii miwili tu; kukabizi nchi kwa wana-CHADEMA.
Mijizi huweka vidole vyao sijui hivi inapotaka kuiba. Sitoi Masamaha mwaka huu kwa mijitu hii.
Follow Us Here