Maneno utaweka mwenyewe
Maneno utaweka mwenyewe
Hii ni raha kwenda MBELE
"Honesty is very expensive gift. Do not expect it from cheap people".
-Warren Buffet
Labda kwa kuwa kaanzisha uzi yeye Mama Mdogo....
Mama Mdogo nilizikuza na kuziweka kwa nia njema kabisa na sikuwa na nia ya kuchukua creduit zako. najua umefanya kazi nzuri na kila anayeona anajua kuwa nimefanya kazi ya kuziweka sawa kama katika thread nyingine.
Hata hivyo nimefanya kosa kwa kukosa kukupa taarifa. Nisamehe kwa hilo.
Vinginevyo nakutakia kila la heri weekend hii utakapokua unacheza Kwaito kule nanihii . . .
kwaito imepata umaarafu sanaa....hasa zile za kundi la malaika
"If I have seen further it is by standing on the shoulders of Giants" (Newton, 1675)
Mwana JF mwenzangu, nimekuelewa, umesomeka!!! Hapa kutana na picha ya mzazi mmoja (jina kapuni) akiburudika na watoto wa shule moja ya sekondari (jina kapuni)kwa kucheza nao kwaito kwa kwenda mbele.
Na kweli week end hii nimealikwa kwenye send off na arusi na huko hakuwezi kosekana kwaito na mimi siwezi kosa kuinuka kwenda kuburudika.....raha ya ngoma ni sharti uingie ucheze.....
Last edited by Mama Mdogo; 30th May 2012 at 16:11.
Anyone who has never made a mistake has never tried anything new - Albert Einstein
No problem can be solved from the same level of consciousness that created it - Albert Einstein
Mama Mdogo asante sana kama umenielewa.
Ila huyu mzazi lazima atakuwa ni wewe jamani.
Duh! huu mguu wako Utatanishi mtupu, nikutafutiana kesi saa hizi na niko katika mfungo binafsi.
Tuyaache hayo, hebu niambie utakuwa kona zipi wikiendi hii ili nami nijipitishe huko? Mengine tutaongea, nia yangu ni njema tu . . . lol
Tunaomba basi tubandikie picha nyingine Mama Mdogo, maana hizi zako zinavutia hasa.
duh si mchezo,.
,,,,,,,,Kaaaah kitu kina DOUBLE chain kwa MUGUU,,,,nakwambiaje na MUUNGANO HATUVUNJIIIIIIII mama mia
excuse me..............hii wanayocheza siyo kwaito,
Kwaito ni music genre na siyo staili ya kucheza, huo mtindo nilianza kuona wamarekani wakicheza kitambo kweli.
Ni kama kwenye bongo fleva unaona kina diamond wakicheza miondoko ya kikongo ndio ilivyo kwenye kwaito kuna mitindo mbalimbali ya dansi wanakuwa wakipendelea kucheza hasa kwasa nk.
Narudia tena huu mtindo hauitwi kwaito. Hata hao Malaika and the likes walioupa mtindo huu umaarufu hawapigi kwaito wanapiga afro pop.
IESUS HOMINUM SALVATOR
Wewe ni Noumer........
Follow Us Here