JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Dada zetu Kulikoni....

  Report Post
  Page 2 of 2 FirstFirst 12
  Results 21 to 39 of 39
  1. Bushbaby's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th December 2010
   Posts : 1,500
   Rep Power : 854
   Likes Received
   301
   Likes Given
   157

   Default Dada zetu Kulikoni....

   Attachment 54040

   Hivi hapa kuna mapenzi ya kweli? mpaka kufikia hatua hii ya kuolewa na Babu!!.....shida ni nini?
   Never Judge any one because you never know how their life is and what they are going through


  2. jmnamba's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 31st March 2012
   Posts : 140
   Rep Power : 512
   Likes Received
   9
   Likes Given
   0

   Default Re: Dada zetu Kulikoni....

   Atii wanasemaje HANDSOME mwisho FORM 6 kunaangaliwa PESA TU.

  3. Ndallo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st October 2010
   Location : LaRusa
   Posts : 6,203
   Rep Power : 6903
   Likes Received
   2379
   Likes Given
   729

   Default Re: Dada zetu Kulikoni....

   Quote By Ribosome View Post
   Unauliza jibu?

   Huyu jamaa anasubiri huyu bibi afe arithi mali!
   '' Mtu ni Utu sio Kitu''

  4. SIMBA WA TARANGA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th February 2012
   Location : Kapugi-Tukuyu
   Posts : 992
   Rep Power : 689
   Likes Received
   216
   Likes Given
   153

   Default Re: Dada zetu Kulikoni....

   Dunia kizungumkuti, kambi popote.

  5. kibolibo's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 2nd May 2012
   Posts : 236
   Rep Power : 527
   Likes Received
   93
   Likes Given
   1491

   Default Re: Dada zetu Kulikoni....

   haya....yangu mie mijicho....

  6. Wingu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th January 2011
   Posts : 4,328
   Rep Power : 1413
   Likes Received
   348
   Likes Given
   41

   Default Re: Dada zetu Kulikoni....

   Mi napita salaam ziwafikie wanaojijua


  7. Paul Kijoka's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th October 2010
   Location : KIMARA, DAR
   Posts : 1,385
   Rep Power : 836
   Likes Received
   242
   Likes Given
   190

   Default Re: Dada zetu Kulikoni....

   Click image for larger version. 

Name:	69-13-01-SincS-A-01.jpg 
Views:	21 
Size:	392.4 KB 
ID:	54076Hawa ndo balaa. Ona walivyojengwa uoga! Lkn ndoa ndo ilivyo!

  8. Nyati's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th March 2009
   Posts : 1,702
   Rep Power : 985
   Likes Received
   651
   Likes Given
   344

   Default Re: Dada zetu Kulikoni....

   Quote By Ndallo View Post
   Huyu jamaa anasubiri huyu bibi afe arithi mali!
   Ndiyo maana wazungu hasa UK wameanzisha kodi katika mali za kurithi. Ukipewa tu mali wanatembeza panga hadi 50% we acha tu. Lakini huyu bibi waweza kukuta ni 60+ na wenzetu wanaishi hadi 100+. Wakati huyo Mnigeria wastani nafikiri ni 40 years. Hivyo imekula kwake
   When the mouse laughs at the cat there is a hole nearby.

  9. TIQO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th January 2011
   Posts : 13,874
   Rep Power : 8831
   Likes Received
   1923
   Likes Given
   220

   Default Re: Dada zetu Kulikoni....

   Quote By Bushbaby View Post
   Attachment 54040

   Hivi hapa kuna mapenzi ya kweli? mpaka kufikia hatua hii ya kuolewa na Babu!!.....shida ni nini?
   Hapo dada kashoboka kupaa majuu kama Mange
   Mwisho wa Ubaya Aibu.

  10. Tutafika's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th November 2009
   Posts : 1,182
   Rep Power : 955
   Likes Received
   448
   Likes Given
   247

   Default Re: Dada zetu Kulikoni....

   Mbona hata humu humu nchi vibabu vinachukua warembo tu!, kipenda roho....!

   Nasikia mwanaume akifika 50s anakua na nguvu za kiume kama kijana wa 20s. Tatizo lipo 35 mpaka 45 labda mawazo yanakua mengi hapo.

   Huyu mwanaume ndio kanimaliza, halafu tunafanana kishenzi!!

  11. samora10's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st July 2010
   Location : Kwa-Gude
   Posts : 5,233
   Rep Power : 73230812
   Likes Received
   1571
   Likes Given
   2472

   Default Re: Dada zetu Kulikoni....

   Mambo ya Mange haya
   ''Mipango na Mikakati imekamilika na sasa tuko kwenye mchakato wa mazungumzo na wafadhili"- M Pinda

  12. Msambaa mkweli's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 31st December 2011
   Posts : 173
   Rep Power : 531
   Likes Received
   27
   Likes Given
   3

   Default

   Quote By Ribosome View Post
   Unauliza jibu?

   Hapo ni mshiko na visa.
   Vato likes this.

  13. BornTown's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th May 2008
   Location : ???
   Posts : 1,582
   Rep Power : 1008
   Likes Received
   355
   Likes Given
   133

   Default Re: Dada zetu Kulikoni....

   kwani kupita njia humu ndani si inaruhusiwa..... nikimaliza wkend nitarudi kuwasalimu
   "DONT BE A WOMAN THAT NEEDS A MAN BE A WOMAN A MAN NEEDS!!!!"

  14. Vato's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 15th February 2009
   Location : Lushoto
   Posts : 230
   Rep Power : 693
   Likes Received
   87
   Likes Given
   259

   Default Re: Dada zetu Kulikoni....

   Quote By Bushbaby View Post
   Attachment 54040

   Hivi hapa kuna mapenzi ya kweli? mpaka kufikia hatua hii ya kuolewa na Babu!!.....shida ni nini?
   Never Judge any one because you never know how their life is and what they are going through

  15. Henge's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th May 2009
   Posts : 6,668
   Rep Power : 2115
   Likes Received
   1284
   Likes Given
   2421

   Default Re: Dada zetu Kulikoni....

   Bongo ziponyingi sana wao wanaita mabuzi but ni kama mumewake tu, tofauti nikuwa huwahawataki mikataba ya kisheria tu!
   'Don't ever take fence down until you know why it was put up' by Robert Frost

  16. SIMBA WA TARANGA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th February 2012
   Location : Kapugi-Tukuyu
   Posts : 992
   Rep Power : 689
   Likes Received
   216
   Likes Given
   153

   Default Re: Dada zetu Kulikoni....

   Quote By Bushbaby View Post
   Attachment 54040

   Hivi hapa kuna mapenzi ya kweli? mpaka kufikia hatua hii ya kuolewa na Babu!!.....shida ni nini?
   Huyo babu atakuwa anapiga pipe kinoma kuliko hata sisi vijana wa bongo, sanasana viwili, babu kumi kwenda juu 30minutes each. Acha tu aolewe. Na atazeeka huyo wata-match tu.

  17. driller's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th August 2011
   Posts : 1,100
   Rep Power : 736
   Likes Received
   209
   Likes Given
   243

   Default Re: Dada zetu Kulikoni....

   Quote By Paul Kijoka View Post
   Click image for larger version. 

Name:	69-13-01-SincS-A-01.jpg 
Views:	21 
Size:	392.4 KB 
ID:	54076Hawa ndo balaa. Ona walivyojengwa uoga! Lkn ndoa ndo ilivyo!
   kudadake unaolewa na jambia liko kiunoni..! hivi hawa huwa wanafaidi mapenzi..?
   a wife is a knife to cut your life but there is no life without a wife

  18. mpinga shetani's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd November 2010
   Location : Tanzania
   Posts : 3,117
   Rep Power : 1178
   Likes Received
   867
   Likes Given
   110

   Default

   Quote By Bushbaby View Post
   Attachment 54040

   Hivi hapa kuna mapenzi ya kweli? mpaka kufikia hatua hii ya kuolewa na Babu!!.....shida ni nini?
   Hapa lazima itakuwa ni Arusha tu.

  19. Shine's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th February 2011
   Posts : 11,545
   Rep Power : 3025
   Likes Received
   1320
   Likes Given
   504

   Default Re: Dada zetu Kulikoni....

   Quote By Bushbaby View Post
   Attachment 54040

   Hivi hapa kuna mapenzi ya kweli? mpaka kufikia hatua hii ya kuolewa na Babu!!.....shida ni nini?
   Thata is what we call after money

  20. Bushbaby's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th December 2010
   Posts : 1,500
   Rep Power : 854
   Likes Received
   301
   Likes Given
   157

   Default Re: Dada zetu Kulikoni....

   Quote By mpinga shetani View Post
   Hapa lazima itakuwa ni Arusha tu.
   Duh....hata Arusha ze Mange has ze company?
   Never Judge any one because you never know how their life is and what they are going through


  Page 2 of 2 FirstFirst 12

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...