Walii na Bakari....unakumbuka Bakari alivyonenepa na baadaye kushitakiwa?
unakumbuka mandazi madogo yalikuwa shilingi ngapi na makubwa shilingi ngapi?
Nini kilitokea mpaka mfalme akanyongwa?
Walii na Bakari....unakumbuka Bakari alivyonenepa na baadaye kushitakiwa?
unakumbuka mandazi madogo yalikuwa shilingi ngapi na makubwa shilingi ngapi?
Nini kilitokea mpaka mfalme akanyongwa?
Hivi vitabu viliingizwa mi nikiwa chuo kikuu tayari
Hivo sijawahi visoma... what are their stories?
Mwali acha uvivu kavitafute vipo mduka ya vitabu kavisome....................ni vizuri.....................mie kitabu nilchokipenda kulikoni vyote ni cha siri ya sifuri by Mahammed Said Abdullah...............looks like a Sherlock Holmes counterfeit..............but I still enjoy it more than Kisima cha Giningi, Duniani kuna watu, by the same author among others................
Follow Us Here