Re: MKAPA: Leo ni nafasi yangu kujisafisha..............
huyu kibonge ndo aliuza nchi kabisa,halafu alipotakiwa kushtakiwa jk akamkingia kifua eti 2mwache mzee we2 apumzike....mbona hapumziki?ona alivyonenepeana jaman?kweli ndege wafananao ndio warukao pamoja bila haya kaenda mahakamni?Tanzania imeangamizwa jaman
@baada ya huyu mporaji kujilimbikizia mali sasa anajiona Ni Mwenyezi Mungu...............lakini kuna siku Mungu wa ukweli atamuulizia ampe hesabu zake hapo ndipo kilio na kusaga meno kitapoanza...............
John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"
John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."
Follow Us Here