katoa wigi?!!!
wewe unaongea kinyume au?? aah apo haujaeleweka hata kidogo
mimeno imetoka utafikiri anakula watu? utafikiri yule mmama aliyeenda Beijing kwenye mkutano (akitokea tz) akabeba na condom kwenye kipimajoto chake...Ivi alikuwa nani vile?....mwanamke yeyote hata kama amefanikiwa vipi, kama haishi na mume, heshima yake ni sifuri...unaonekana malaya tu. however, kwa wale ambao hawajapenda kuishi hivyo, nawapo moyo, na heshima..
Haya yote ni ubatili mtupu, hakuna jipya hapa duniani!
Hivi hayo ni mapengo au she happened to have mianya mingi!!?
Wacheni ujinga na upuuzi usio na maana.
Kama wazuri kweli mungesoma mukapata mafanikio na siyo kukaa na kukebehi watu. Dhambi iliyoje!
Usifanye nchezo na milioni moja ya bure bure(ya elimu ya sensa)
Tuwekee picha ya mama yako tuifanyie analysis.
Mama posho, hio sura ya mbena halisi, ila yuko na umbo zuri si mchezo.
Wewe unatutafutia watu Ban tu.
ebana Invisible ndugu yako nini. Mbona hujatwangwa Ban.
dah tumejisahau sana wana jf, kila mwanadamu ana kasoro zake na hakuna aliyetimia.Mungu amemuumba kila mwanadamu kwa kusudio lake sa kama ww unamuona hajatimia hata wewe nafikiri unamapungufu zaidi ya yeye.siasa na maumbile yake ni tofauti tumkosee kwa utendaji wake lakini si maumbile yake hata yeye hajapenda awe hivyo.
ASIYEUMBA HAUMBUI
Usitake kuchekesha walionuna
Follow Us Here